Fahamu tofauti ya kauli kati ya mwanamke aliyekupenda na mwanamke mwenye malengo na wewe

Siwezi kua na malengo na wewe ikiwa sikupendi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi zote fiction stories za wazungu ..Mungu ndie amjuaye ubavu wako.
 
Hilo kundi la kwanza mara nyingi wewe ndo unakuwa uliyeanza nae kwa maana ya kumtoboa na kufungua njia
 
Wakati nasoma kichwa cha habari nilikielewa tofauti
 
Kwenye mapenzi pasipokuwa na upendo hakuna malengo. Upendo wa kweli ndio unaojenga na utakaojenga hata malengo yenu ya baadae. Ni muhimu sana kwa mwanaume kuwa kwenye mahusiano na mwanamke anayekupenda.
Kiongozi ni lazima uelewee ipo tofauti kubwaa kati ya mwanamke anayekupenda na mwanamke mwenye malengo na wewe

Mwanamke mwenye malengo na wewe always kuna kitu anachokitafuta kutoka kwakoo au kupitia wewe au kuna kitu anakitaka kutoka kwako na ikitokea kupitia wewe anaamini malengo yake yatatimia basi yupo tayali uwe mpenzi wake lakini akishatimiza malengo yake atakuacha.

Ndo maana humu jf kuna masela wamesomesha mademu zao, kuna masela wamewajengea nyumba mademu zao, kuna masela waliwatafutia kazi mademu zao ila baada ya mademu wao kutimiza ndoto zao waliamua kuwakimbiaa na kuwaacha.

Halafu mwisho wa game demu anakuja kuolewa na msela mwingineeee
 
Kundi la pili huwa nawahisi kutoka mbali kabisa. Na ile mwanaume umefulia, mapenz,njonjo za mapenz zinaisha hapo hapo... unaona hakutafuti. Ukimtafuta anakwambia yuko busy, ukimtumia pesa asante hakuna.

Ukiona hizi dalili, unamuacha akiwa akiwa hajui yaani kimya kimya
 
Sasa hapo kiongozi ile formula yetu ina apply ambayo inasemaaaa.

Mwanamke mwenye malengo hawezi kuwa na mahusiano na mwanaume aliyefuliaaa ila mwanamke aliyekupenda dhati ufulieee usifulieee yeye badoo analiitaji penzi lakooo tuu.

Sasa hii formula ndio ina appy
 
Una manisha kwamba unaweza ukawa na bint akakupenda halafu asiwe na malengo na wew???
 
Hivi miaka hii kuna watu wanaweza kuoana kabla ya kugegedana kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…