Fahamu tofauti ya kauli kati ya mwanamke aliyekupenda na mwanamke mwenye malengo na wewe

Yani mwaka mzima unakula mara tatu tu, then unahonga mara ngap?
 
Huu uchambuzi wa kweli.maana 100% ya wanawake wanotafuta waume humu jukwani huwa wanaweka vigezo ambavyo vinaonyesha ni wale wa kundi la pili
 
Una manisha kwamba unaweza ukawa na bint akakupenda halafu asiwe na malengo na wew???
Ni kweli hiyo huwa inatokea kuna binti anaweza akakupenda lakini asiwe na malengo na wewe kwa sababu yeye anachotafuta ni mapenzi ya dhati toka kwako uwee na pesa usiwe pesa kwake sawa umuoe usimuoe kwake yeye sawa kwa sababu shida yake sio ndoa yeye shida yake penzi lako kwake.

Ndo maana unaweza kukuta kuna watu hawajafunga ndoa lakini tayali wanaishi pamoja na wana watoto hii ni tofauti kuna wengine hayupo tayali kwa lolote mpka ndoa ifugweeeee
 
Huu uchambuzi wa kweli.maana 100% ya wanawake wanotafuta waume humu jukwani huwa wanaweka vigezo ambavyo vinaonyesha ni wale wa kundi la pili
UKIONA MWANAMKE ANATAFUTA MWANAUME AMEWEKA VIGEZO SASA HIVYO VIGEZO WACHAMBUZI WANASEMA HAYO NDIO MALENGO YAKE KWA SABABU KAMA HUNA HIVYO VIGEZO HUWEZI KUTIMIZA MALENGO YAKE.

MKUU UKO VIZULI SANA
 
Mbaya Mkuu, hakuna nyongeza Aise
Usisehe hivyo mkuu. Tupo katika zama zenye mifumo isiyo rafiki hivyo tunapaswa kujenga misingi itakayojenga jamii tunayoiota (utopialize).
 
Ndoa nyingi za siku zinatokana na sababu namba (1) hawa wa pili ni Miyeyusho wana Masharti mengi mno!
 
Sema kwako ndo hatoi kizembe, unaweza kuta kuna mtu haipiti week anaweka
 
Kuna ujinga flani hivi mtoa mada unawajaza watu na umeharibu jamii yetu sana

Kinachofanya jamii iharibike ni Ile dhana ya Wanawake nao kutaka kuchagua mtu ata Kama Hana nyuma Wala mbele, matokeo yake mwanamke anazaa na wanaume wa ajabu ajabu hawana malengo na kupelekea kuwepo kwa single mother wengi, unavyombebea mimba mwanaume kwa kigezo Cha moyo unampenda ni uzwazwa

Mwanamke anatakiwa kumheshimu mme wake na sio kumpenda in first place, swala la kumpenda mwanaume linakuja through learning. Lakin Leo hii Wanawake wanataka kupenda in first-place Kama wanaume kitu ambacho sio sahii, mwanamke anatakiwa aridhike na mwanamme atakama hajampenda mwanaume, kumpenda kutakuja mbele ya safari.

Mwanaume ndo mjenzi wa familia imara na jamii imara, ni ngumu sana kwa mwanaume kukaa na mwanaume ambaye hampendi na hata akizaa nae hiyo familia ataitelekeza ndo kinachotea sahivi.

Ni rahis Sana kwa mwanamke akiamua kuishi na mwanaume hata akiwa hajampenda kwa Mara ya kwanza kwa sababu mwanamke anachohitaji ni affection.

Dhana ya Wanawake kutaka kupenda Kama wanaume liliivuruga Western countries, na Sasa hivi limehamia uku kwetu na litaendelea kutuvuruga sana
 

Wakati nasoma kichwa cha habari nilikielewa tofauti
Yeah
 
Mwanamke hawezi kukupenda kama Hana malengo na wewe. Malengo huja baada ya upendo kuwa juu..malengo ni nguzo katika kukupenda.

Huwezi kupendwa na mtu Ambae Hana malengo na wewe wither utakuwa main provider ili upendwe hivyo basi

Lazima upendwe alafu malengo yawe juuu.
Msingi wa mwananke kukupenda kweli ni matokeo ya upendo wa kweli yaaani kukupenda.

Binafsi kwa faida yenu.
Mpenzi wangu kwanza ananipenda then anamalengo na Mimi.
 
Na Hilo kundi la pili wengi ndo wanalitaka bila wao kujua, hatar sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…