Fahamu utabiri na utata uliomzunguka TB Joshua

TB Joshua alipata umaarufu pengine ni kweli alikuwa anatumia NGUVU ZA MUNGU au nguvu za giza, sijui.

Watu walipona, viwete walitembea na wengi wenye shida walifunguliwa, kwa vile hakuna aliyekiri kuponywa naye tuyaache hivyo hivyo, labda atokee wa kutoa ushughuda.

Mbinu zake alizotumia sijui kama zipo kwenye Biblia, labda from those pages removed from the Bible. Upo wakati alikuja bongo peku, just imagine

Na iwapo alitumia nguvu za giza huwa zina malipo pia, waulize waliotupa punje kule tunduma au wale wa wahunzi huru, lazima ulipia mwisho wanataka kutoka kwako sadaka yenye uchungu na ukishindwa ipo adhabu pia muulize Mshana Jr kilichomfanya auze kilinge.

So this man of god alijua yake na yakamkuta hivyo.

Nilikuwa mfuatiliaji wa mafundisho yake sometimes nikaja kuachana nayo pia.

All in all let TB JOSHUA be where our God will like him to be.
Upo wakati alikuja bongo peku, just imagine

Kuna msanii mmoja naye uwa anatembea peku sijui kaacha sijui anaendelea na sijui uwa wanamaanisha nini
 
TB Joshua alipata umaarufu pengine ni kweli alikuwa anatumia NGUVU ZA MUNGU au nguvu za giza, sijui.

Watu walipona, viwete walitembea na wengi wenye shida walifunguliwa, kwa vile hakuna aliyekiri kuponywa naye tuyaache hivyo hivyo, labda atokee wa kutoa ushughuda.

Mbinu zake alizotumia sijui kama zipo kwenye Biblia, labda from those pages removed from the Bible. Upo wakati alikuja bongo peku, just imagine

Na iwapo alitumia nguvu za giza huwa zina malipo pia, waulize waliotupa punje kule tunduma au wale wa wahunzi huru, lazima ulipia mwisho wanataka kutoka kwako sadaka yenye uchungu na ukishindwa ipo adhabu pia muulize Mshana Jr kilichomfanya auze kilinge.

So this man of god alijua yake na yakamkuta hivyo.

Nilikuwa mfuatiliaji wa mafundisho yake sometimes nikaja kuachana nayo pia.

All in all let TB JOSHUA be where our God will like him to be.
Soma Biblia utagundua katika yote aliyoyafanya hayakuwa nje ya Biblia.

Kila mtu atafute mwisho mwema...
 
Wajinga ndiyo waliwao. Tizama kanisa la Gwajiboy Mzee wa viuno.
Haya masuala ni ya kiimani zaidi, ni vizuri kumuacha kila mtu akaamini kile anachotaka,kuna watu ninawafahamu wamelala hospitali miaka na miaka kwa stroke lakini walipona with a single touch from TB Joshua na mpaka sasa wanaendelea na maisha vizuri, kuna mwingine nilisoma nae alipata kichaa ghafla tulipokua chuo mwaka wa pili, na amepelekwa kwa wataalamu wa afya ya akili mpaka nje ya nchi hakupona, familia ilirudi nyuma wakaamua kuwa wanamfungia ndani tu for more than 4years, baadae watu wakawashauri wamuhangaikie kiroho, walipita makanisa mengi hapa TZ hakupona, mama yake akatuomba tumsaidie kufanya fund raising aende kwa TB Joshua, tulichangishana kila kona wakaenda, with a single touch the lady is doing great na anafanya kazi UN kwa sasa wala huwezi jua kama aliwahi kuwa kichaa

Mfano wa mwisho ni dada mmoja jirani na ninapoishi alijifungua mtoto mwenye matatizo ya akili, wanaita mtindio wa ubongo, huyu dada amehangaika na mtoto mpaka India, mwisho wa siku alikata tamaa, last year mtoto wake alitimiza umri wa miaka saba, akaaamua kumpeleka kwa TB Joshua,hivi tunavyoongea yule mtoto anasoma shule moja na wanangu tena huwezi jua kama alizaliwa na matatizo, very intelligent boy

Mimi niseme tu swala la imani huwa sizungumzi kwa sababu kila mtu huwa anaguswa kwa namna yake, na pengine huwezi kuamini mpaka upitie situation fulani itakayokufanya uamini

Sio wajinga, kuna watu wanapitia mapito mengi sana na wamehangaika kila kona ila wamepata msaada kwa huyu mtumishi. Mshukuru Mungu hujawahi kupitia mapito au mahangaiko ya namna hiyo na muombe Mungu pia akuepushie
 
Huyu mzee hauzi maji ndugu.tatizo hamfatilii wala hamumjuia Bali mnafatilia wapigaji
Huyu mzee anampa mtu bure halafu mtu anayageuza faida anaenda kuuza
Kosa la nani hapo?
Ifike mda mkae kimya kujiepusha na hatia za ulimi.mmemtukana sana huyu mzee na wala hamumjui Bali mnafuata maneno ya vichochoroni na blog uchwara na wapinga kristo.usiokote maneno ya watu na kuyaendeleza
unahisi maji yanapatikana tu, Scoan utaratibu wa kupata maji ni mpaka ununue kitabu cha tb joshua and kinauzwa Naira 5000 sawa na elfu 29000 kama sijakosea ......au kufanya personal meeting nae ambapo wa mbali wanataliwa waishi kwenye hostel zake binafsi.....kwanini asiwalaze bure wenye shida kutoka nchi mbalimbali?

Pia.....Hivi unajua kuwa matumizi ya maji ni sawa na kuabudu ibada ya sanamu? (unaamini maji na hutaamini Mungu) kwanini utumie maji badala ya maombi na maandiko direct kwa kumgusa mtu? Kuna sehemu katila biblia umeona Yesu akitumia maji kumpa mtu akampe mwingine au akatumie ndio apone?

Pia je Yesu alivyowapa kibali wanafunzi wake cha kutoa mapepo wachafu aliwapa neno la luwatia imani tu, je unadhani alishindwa kuwapa maji kwenye vyupa na ili wanafunzi wake wakawanyweshe wenye shida? Aliweza sana na kwanini hakufanya hivyo ni sababu ni sawa na kuabudu sanamu (maji)

Pia katika agano jipya ambali limebeba maagizo ya Yesu kabla hajaondoka, limeweka mkazo sama katika damu ya Yesu kristo kuliko hayo maji unajua kwanini? ni kwasababu kwa utashi wake alijua maji yatatumiwa vibaya na yatamenewa maneno na hata watu wabaya na watayauza bei ila damu sio rahisi.....

Ufunuo 12:11 "nao wakamshinda kwa damu ya Mwanakondoo", ufunuo mzima imeelezea kuhusu umuhimu wa kujitakasa na kupigana vita huku umejivika damu ya Yesu kristo (mwanakondoo) kwanini wasiseme maji ni sababu maji hayana nguvu katika agano jipya.......
 
Soma Biblia utagundua katika yote aliyoyafanya hayakuwa nje ya Biblia.

Kila mtu atafute mwisho mwema...
Hayakuwa nje ya biblia ?? hebu nieleze ni sehemu gani Yesu au mwanafunzi wake aligawa maji na mafuta yakatende miujiza?
 
Soma nyaraka za Paulo. Aliagiza matumizi ya mafuta katika kupooza wagonjwa. Plz soma Biblia. Elisha alimuagiza naamani kujiosha yordani ukoma utamtoka.
Yote haya yapo katika biblia!
 
unahisi maji yanapatikana tu, Scoan utaratibu wa kupata maji ni mpaka ununue kitabu cha tb joshua and kinauzwa Naira 5000 sawa na elfu 29000 kama sijakosea ......au kufanya personal meeting nae ambapo wa mbali wanataliwa waishi kwenye hostel zake binafsi.....kwanini asiwalaze bure wenye shida kutoka nchi mbalimbali?

Pia.....Hivi unajua kuwa matumizi ya maji ni sawa na kuabudu ibada ya sanamu? (unaamini maji na hutaamini Mungu) kwanini utumie maji badala ya maombi na maandiko direct kwa kumgusa mtu? Kuna sehemu katila biblia umeona Yesu akitumia maji kumpa mtu akampe mwingine au akatumie ndio apone?

Pia je Yesu alivyowapa kibali wanafunzi wake cha kutoa mapepo wachafu aliwapa neno la luwatia imani tu, je unadhani alishindwa kuwapa maji kwenye vyupa na ili wanafunzi wake wakawanyweshe wenye shida? Aliweza sana na kwanini hakufanya hivyo ni sababu ni sawa na kuabudu sanamu (maji)

Pia katika agano jipya ambali limebeba maagizo ya Yesu kabla hajaondoka, limeweka mkazo sama katika damu ya Yesu kristo kuliko hayo maji unajua kwanini? ni kwasababu kwa utashi wake alijua maji yatatumiwa vibaya na yatamenewa maneno na hata watu wabaya na watayauza bei ila damu sio rahisi.....

Ufunuo 12:11 "nao wakamshinda kwa damu ya Mwanakondoo", ufunuo mzima imeelezea kuhusu umuhimu wa kujitakasa na kupigana vita huku umejivika damu ya Yesu kristo (mwanakondoo) kwanini wasiseme maji ni sababu maji hayana nguvu katika agano jipya.......
Bwana Yesu alitumia mpaka udongo kuponya mwenye kipofu. Unasoma Biblia ipi?
 
Haya masuala ni ya kiimani zaidi, ni vizuri kumuacha kila mtu akaamini kile anachotaka,kuna watu ninawafahamu wamelala hospitali miaka na miaka kwa stroke lakini walipona with a single touch from TB Joshua na mpaka sasa wanaendelea na maisha vizuri, kuna mwingine nilisoma nae alipata kichaa ghafla tulipokua chuo mwaka wa pili, na amepelekwa kwa wataalamu wa afya ya akili mpaka nje ya nchi hakupona, familia ilirudi nyuma wakaamua kuwa wanamfungia ndani tu for more than 4years, baadae watu wakawashauri wamuhangaikie kiroho, walipita makanisa mengi hapa TZ hakupona, mama yake akatuomba tumsaidie kufanya fund raising aende kwa TB Joshua, tulichangishana kila kona wakaenda, with a single touch the lady is doing great na anafanya kazi UN kwa sasa wala huwezi jua kama aliwahi kuwa kichaa

Mfano wa mwisho ni dada mmoja jirani na ninapoishi alijifungua mtoto mwenye matatizo ya akili, wanaita mtindio wa ubongo, huyu dada amehangaika na mtoto mpaka India, mwisho wa siku alikata tamaa, last year mtoto wake alitimiza umri wa miaka saba, akaaamua kumpeleka kwa TB Joshua,hivi tunavyoongea yule mtoto anasoma shule moja na wanangu tena huwezi jua kama alizaliwa na matatizo, very intelligent boy

Mimi niseme tu swala la imani huwa sizungumzi kwa sababu kila mtu huwa anaguswa kwa namna yake, na pengine huwezi kuamini mpaka upitie situation fulani itakayokufanya uamini

Sio wajinga, kuna watu wanapitia mapito mengi sana na wamehangaika kila kona ila wamepata msaada kwa huyu mtumishi. Mshukuru Mungu hujawahi kupitia mapito au mahangaiko ya namna hiyo na muombe Mungu pia akuepushie
Bora tu ukae kimya abrianna.acha waongee wanachoweza mradi kila mtu atahukumuiwa kwa maneno yake mwenyewe.
Mambo ya rohoni kwa wanaofata asili ya mwilini kwao ni upuuzi
 
Soma nyaraka za Paulo. Aliagiza matumizi ya mafuta katika kupooza wagonjwa. Plz soma Biblia. Elisha alimuagiza naamani kujiosha yordani ukoma utamtoka.
Yote haya yapo katika biblia!
Je hizo ni kabla ya kufa kwa kristo au? Maana baada ya kufufuka Yesu alibadilisha mfumo wa uombaji kutoka kuombea kwa kutumia vitu mpaka kuombea kwa kutumia damu yenye nguvu na ukuu ambayo ni damu yenye uzima......

Sio maji jamani kwanini msipitie agano jipya mjifunze usije sema hata wazee wetu wanaochoma mifugo kama sadaka wanasililizwa kwa sababu hata kwenye biblia ilifanyika
 
Bwana Yesu alitumia mpaka udongo kuponya mwenye kipofu. Unasoma Biblia ipi?
Hiyo ni kabla hajasulubiwa na kutwaliwa......baada ya ufufuo wa Yesu mbon inajieleza wazi kuhusu kubadilika kwa nakala ya usaliji hadi matumizi ya damu ya Yesu.....

Katika ufunuo hiyo 21:11 anaposema "Nao wakamshinda kwa damu ya mwanakondoo" kwanini asingeseka "nao wakamshinda kwa maji ya uzima au mafuta ya uzima"? Ni kwasababu ya ubadilikaji wa nakala ya usaliji na nguvu iliyopo kwemye damu ya Yesu kristo......
 
Wewe badala ya kuomba unaenda tumia maji kwa kigezo yamepewa uponyaji kweli jamani hebu muwe serious basi......kuna umuhimu gami wa kusali na kuomba kwa kutumia damu ya Yesu kama watu wanatoa maji ya upako.......hayo maii ya upako yanakufunga usiweze kusogea mbele kiimani kwa maana hautaweza kusali ma kutumia damu ya Yesu kama tulivyoelekezwa wewe utajikita kwenye matumizi ya maji
 
Huyu mzee hauzi maji ndugu.tatizo hamfatilii wala hamumjuia Bali mnafatilia wapigaji
Huyu mzee anampa mtu bure halafu mtu anayageuza faida anaenda kuuza
Kosa la nani hapo?
Ifike mda mkae kimya kujiepusha na hatia za ulimi.mmemtukana sana huyu mzee na wala hamumjui Bali mnafuata maneno ya vichochoroni na blog uchwara na wapinga kristo.usiokote maneno ya watu na kuyaendeleza
Sijajua hayo mengine watu wanasema ila kipindi nafuatilia emmanuel Tv T.b joshua alikua anatoa misaada sana anasaidia sana watu,anatoa misaada kwenye maafa, na watu wenye shida binafsi.
Tofauti na wachungaji wetu maarufu hapa tz.
 
Tena amesaidia bila kujali dini zao, amesaidia community za waislamu, wahindi na hakuwahi kuwashawishi wajiunge na kanisa lake
 
Back
Top Bottom