Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Usisahau pia kile kipindi cha Libya.vijana wa kiafrika wamefunga minyororo wanauzwa kama watumwa wanauliwa.aliwakomboa vijana kwa mamia wa taifa lake.aliwalipia na akatuma ndege kuwachukua.na akawasitiri na mitaji akawapaSijajua hayo mengine watu wanasema ila kipindi nafuatilia emmanuel Tv T.b joshua alikua anatoa misaada sana anasaidia sana watu,anatoa misaada kwenye maafa, na watu wenye shida binafsi.
Tofauti na wachungaji wetu maarufu hapa tz.
Usisahau zile shehena za mchele kila siku akilisha maskini.now watu wanaona mabaya tu.hawamjui