Fahamu utabiri na utata uliomzunguka TB Joshua

Sijajua hayo mengine watu wanasema ila kipindi nafuatilia emmanuel Tv T.b joshua alikua anatoa misaada sana anasaidia sana watu,anatoa misaada kwenye maafa, na watu wenye shida binafsi.
Tofauti na wachungaji wetu maarufu hapa tz.
Usisahau pia kile kipindi cha Libya.vijana wa kiafrika wamefunga minyororo wanauzwa kama watumwa wanauliwa.aliwakomboa vijana kwa mamia wa taifa lake.aliwalipia na akatuma ndege kuwachukua.na akawasitiri na mitaji akawapa
Usisahau zile shehena za mchele kila siku akilisha maskini.now watu wanaona mabaya tu.hawamjui
 
Nasikia mwezi uliopita mtoto wake wa kike aliolewa Arusha na kijana wa kiarusha
 
Masanja kaanza mdomdogo baada ya miaka 10 atakuwa hashikiki. Imani yangu inaniambia viumbe hawa wananunua hii nguvu Kwa malipo ya damu.

Refer Mwamposa na vifo Moshi
 
Ni heri kukaa kimya kuliko kujifanya unajua kwa kitu usicho kijua.kumnenea mabaya mtu usiemjua au kwa kitu usicho na uhakika nacho ni vibaya sana.

Leo nilikua sehem kuna watu wakawa wanadiliki kusema wana uhakika na kitu kimoja kinachoendelea mtandaoni na wakati mtuhumiwa sio kweli mtendaj na mtendaji mm namjua.

Niliwauliza kwa nn mnamnenea uhongo hyu mtu,je mna uhakika kuwa ni kweli ametenda?

Sisi wanadamu tuna tatzo kubwa la kusingizia watu na kutoa ushahid wa uongo.Uwa nashangaa sana.

Mimi pia yalishawahi kunitokea ndio maana siku zote uwa sim-judge mtu kwa story tu za kusikia kwa watu.

Yte kwa yte,Mungu amuweke mahala pema peponi.
 
Hata yeye alikuwa msanii na wajanja wa hapa tz walikuwa wanaenda kwake kuchukua ujanja wa kupiga watu. Mtumishi wa Kweli wa Mungu alisema Mungu amewavumilia sana na sasa wataondoka mfururizo! Kimeanza kisiki sasa matawi worldwide wanafuata. Matapeli mpo si tunawaona tu, mnafikiri wote sisi wajinga! Kama aliyewaumba kawachoka mtakuwa wageni wa nani? Shetani hana mbingu pigeni ujanja tutawaona mwisho wenu!
 
yaan kiufup huyo nabii ni muongo,,fuatilien malalamiko ya watu uko nigeria,,fuatilia hata ibada zake,,utapel mwanzo mwisho
 
kusaidia sio shida, mbna hata dini ya uislam wanasaidia?? tena wao ndyo wanaongoza kwa kutoa misaada dunia nzma, fuatilia hata hapa bongo kuna misikit kibao imejengwa na waarabu,,lakn roho zao,,,roho zaoo,,uyo unaesema kasaidia watu, swal jee alisaidia kwa lengo lip?? maana kuna kusaidia ili kunikosha ambako ndko uko unaita waandish wa habar na magazet wachukue picha jns unavyotoa thn unapata sifa zakipuuz,,kuna kutoa ili kupata kitu fulan mybe kukubarika, connection ama rushwa,, kutoa hakukupi wew kigezo chakuwa mtu mzur au mtu wa Mungu,kumbuka hata waganga wa kienyej wanatoa, wanaponya na wanagawa kinga kwa wateja wao,,huyo jamaa nashangaa mnaomtetea sjui ni kwamba uvivu wa kusoma bible?, ama vifungo vya akili ama nini shida..he is a fake prophet,,watu wa taifa lake wamekir wazi kuhusu ubaya wa mtu huy, sasa wew ni nan wakumtetea??
 
hata waganga, na wachaw wnaponya, tena wanatoa tiba nzur kulko hata hawa madactar wetu wa mahospitali,,waganga nao huliliwa na wateja zao, nao hutibu maradhi, utoa utajir,utoa kinga za ushirikina, swal jee? kutbu watu kupitia nguvu negative ndyo kunakupa uharal wa kukubaliwa na Mungu???.... jibu ni hapana,,that prophet tb joshua was foolish and fake
 
Halafu tangu afe kupo kimyaaa,haieleweki what next?Ila mwamba ametoka mbali sn na kanisa lake aisee.Nimeona documentary yake daaaah anastahili pongezi
 
Ukisema hivyo unakosea sana tena sana,hao hao watu wa taifa lake unaosema wanasema ni fake prophets ndo hao hao toka msiba utangazwe wako scoan pale hawajaondoka,wanalala na kuamkia hapo,hao hujacheki youtube?kuna wanaosema wanaamin atafufuka kwahiyo hawaondoki adi afufuke?hao unaoongelea wewe ni watu wapi?na just because baadhi wamesema hawamkubali hainipi mimi na wewe uhalali wa kusema ni fake prophet unless kama nawe ni fake prophet so huwa mnakutana kwa lucifer,ukinambia hivo then i might think about believing you,but untill then i consider him innocent untill proven guilty!
LET LOVE LEAD✌
 
Ni kweli hata Mungu anaweza kukusaidia kupitia mganga wa kienyeji na ukamsifia mganga kumbe ni Mungu ameona mahangaiko yako akakuponya.

Inatakiwa ukifikia hali ya kupona Umshukuru Mungu siyo hao akina TB Joshua
 
Ni kweli hata Mungu anaweza kukusaidia kupitia mganga wa kienyeji na ukamsifia mganga kumbe ni Mungu ameona mahangaiko yako akakuponya.

Inatakiwa ukifikia hali ya kupona Umshukuru Mungu siyo hao akina TB Joshua
Hata Yesu wakati anawaombea wanafunzi wake aliwaambia imani yako imekuponya lakini hawa manabii wetu hawasemi hivyo
 
Mkuu nakubaliana nawe, alikuwa mtoaji wa misaada kwa wenye uhitaji Duniani dhidi ya mchungaji yeyote ule hapa Duniani. Karma ya misaada aliitenda pasa na shaka, bila ubaguzi wa kabila wala DINI. Anasitahili utukufu kwa hilo. Hata kama alihitaji fedha kwa ajili ya familia yake, lakini alIonyesha upendo wa wahitaji. Yeyote ambaye atakuwa against TB Joshua, huyo ana lake JAMBO.
 
Halafu tangu afe kupo kimyaaa,haieleweki what next?Ila mwamba ametoka mbali sn na kanisa lake aisee.Nimeona documentary yake daaaah anastahili pongezi
😂😂😂jamaa kapambana katoboa ndio unaona hasira za watu,oooh freemason,mara miujiza fake hawajui jamaa alianzia kanisa lake kwenye makuti na nyasi juu.
Teseka mwenyewe,alafu fanikiwa uone hata ambao hawakujui watakujadili kama wanakufahamu kiundani.

Mwacheni mwamba apumzike katoka mbali sana
Kama ni fake wajaribu na wao waone kama watapata wafuasi watatu tu😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…