Fahamu vitafunwa vya asili ambavyo vitakuweka mbali na magonjwa na kuongezeka uzito

Fahamu vitafunwa vya asili ambavyo vitakuweka mbali na magonjwa na kuongezeka uzito

Dr Luu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2016
Posts
1,025
Reaction score
938
VITAFUNWA VYA ASILI
1000100563.jpg

Habari za wakati huu.
Nimeamua kuja na mada hii baada ya kuulizwa na mdau na mpenzi wa tiba asili yakua " ni vipi vitafunwa vya asili ambavyo naweza kuvila hasa asubuhi?
Baada ya kuulizwa swali hili nimeona niandike makala fupi juu ya vitafunwa hivyo ili wadau wengi wapate kuvijua. Kwanza tuanze na kujadili kwa uchache juu ya vitafunwa vya asili. Kimsingi kwenye maduka na migahawa mingi kumekua na vitafunwa vingi na kwa asilimia kubwa huwa ni vitafunwa vya ngano kama mikate n.k
Kabla ya kuendelea unaweza kupitia moja ya post niliyowahi kuiweka hapa jamvini inayohusu vyakula vya asili yaani non GMOs link.

Pia ukihitaji tiba asili kwa magonjwa ya uzazi, figo, tumbo, Pms, PID, na magonjwa yasiyo ambukiza kama kisukari nitafuta moja kwa moja kupia namba yangu ya simu ya mkononi +255 711553826.

Bila kupoteza muda tuendelee na mada, vitafunwa vya asili ni vile vitafunwa vinavyo andaliwa kutoka kwenye mimea ya asili (either tubers, grains, nuts, fruits na salads) ambayo havina kemikali zinazoweza kuudhuru mwili na kusababisha uzalishwaji wa mucus mwilini na kusababisha magonjwa mf. Magonjwa ya tumbo, kuongezeka uzito, n.k
Kimsingi huwa kuna vifungua kinywa vya aina mbalimbali kutokana na utamaduni mbalimbali wa jamii, kuna jamii hasa jamii za kigeni hula vyakula kama matunda, salads, juisi na dessert kama kifungua kinywa ingawa kwa jamii nyingi za kiafrika matunda au juisi na mbogamboga huwa sio sehemu ya vitafunwa kwa wakati wa asubuhi.
Bila kujali tamaduni gani huko nazo nitakuja na mapendekezo ya vitafunwa ambavyo ni vya asili kama ifuatavyo.

Vitafunwa vitokanavyo na nafaka. (Desserts)

1000100553.jpg

Mandazi, mikate, scones, keki na biscuits zitokanazo, sambusa, visheti zitokanazo na nafaka asili kama mtama, uwele, kamut (ngano asili), teff, rye na mbegu za mchicha lishe.

Vitafunwa vitokanavyo na vyakula vya asili vitokanavyo na mizizi (tubers).
Magimbi, maduma, viazi vikuu, viazi vitamu n.k

1000100566.jpg

Link ya upishi huu wa magimbi

Vitafunwa vya ndizi
Hapa nitelezea ndizi aina mbili pekee ambazo ndio ndizi za asili kwa utafiti niliofanya na kwa msaada wa wataalamu kupitia vitabu nilivyo wahi kuvisoma ndizi hizo ni ndizi mkojozi na kisukari na hapa nita eleza juu ya ndizi mkojozi na ndizi kisukari itaingia kwenye kundi la matunda.
Ndizi mkojozi inaweza kutumika kama kitafunwa ikiwa ni kwa kuvichoma, kukanga au kupika.
1000100554.jpg


Vitafunwa vya salads
Salads inaweza kuandaliwa kwa mchanganyiko wa matunda, mbogamboga, nuts, na viungo vyenginevyo kama pilipili manga n.k ili kuleta ladha nzuri kwa mlaji.
1000100555.jpg


Vitafunwa vitokanavyo na nuts/ nazi.
Vipo vitafunwa vinavyoweza kuandaliwa na nazi za asili na hivi huweza kuandaliwa kwa kukanga au kuchanganywa dessert kama biscuits n.k
Pia huweza kutengeneza maziwa nakuwa kama kinywaji huitwa milk/ maziwa. Mfano almond inapochanganywa na tende na maji na kisha kublendiwa pamoja huweza kutoa kinywaji kizuri sana hasa nyakati za asubuhi na jioni. Nuts hizo za asili ni Almond, oats, na Brazilian nuts.
1000100571.jpg

keki ya almond.

Matunda ni moja ya vitafunwa vizuri wakati wowote unaviitaji na imekua rahisi kwa sasa baada ya technology kukua hasa ya uhifadhi na imerahisisha upatikanaji wake umekua rahisi. Kuna matunda ambayo yamekaushwa matunda haya huweza kutumika kwenye desert mbalimbali mf wa matunda hayo ni zabibu. Pia huweza kutumika kwa kuliwa yakiwa fresh kwa kuvila kama tunda au kuvisaga nakupata juisi na ikaongeza virutubisho mwilini.
1000100557.jpg

Snacks, pia zipo vitafunwa vinavyoweza kuandali kama snacks ingawa wengi tumezoea snacks nyingi huandaliwa na nyama hapa nitagusia mbadala wake kwa kuwa ni ukweli ulio wazi kua ulaji wa nyama pia unamadhara yake na umeongezeka kutokana na ufugaji kuwa wakutumia madawa na sindano zakuongeza nyama au uzalishwaji wa maziwa na kuzidisha madhara hasa ya kiafya. Zipo snacks zinazoweza kuandaliwa kutoka kwenye mimea ya asili kama uyoga na cuctus.
1000100574.jpg

Link ya chakula hichi cha cuctus.
Zifuatazo ni links za wovuti mbalimbali za mapishi kwa lengo la kujifunza. Pengine katika mapishi hayo kuna baadhi ya ingredients zilizotumika zinakiuka asili basi kwa kuwa wewe unajua mbadala wake waweza tumia mbadala huo n
a bado ukabaki kwenye asili.
1000100562.jpg
1000100559.jpg

Links
Mapishi01 mapishi02 mapishi03 mapishi04 mapishi05 mapishi06 mapishi07 mapishi08
 
Back
Top Bottom