Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

Mkuu nina kiwanja kigamboni kibada
Papo tambarale nataka nijenge kagorofa flani kadogo dogo hivi niandae ngapi
Chini iwe vyumba vitatu vya kulala sebule kila kitu alf juu niweke kachumba master tuu
 
Mkuu nina kiwanja kigamboni kibada
Papo tambarale nataka nijenge kagorofa flani kadogo dogo hivi niandae ngapi
Chini iwe vyumba vitatu vya kulala sebule kila kitu alf juu niweke kachumba master tuu
Bila mchoro nitakupa gharama ambazo sio sahihi.
Hivyo basi inaweza kuwa 110m - 180
 
Kuna alternative nyingi utashauriwa ikiwa ni pamoja na kufunga underground beam lakini mimi nashauri chimba msingi eneo lote ambalo utaweka kuta tafuta kifusi kizuri kama kile wanatumia kwenye barabara shundilia vizuri kama CM 15-20 mwagia maji kiloe kitasettle baada ya siku mbili shindilia vizuri upàte level anza kujenga msingi nyumba ila udongo utakaochimba utupe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…