Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
- #301
TTujadili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TTujadili
Karibuni
Karibu tujadili
Karibu tujadili
Karibu tujadili
Bila mchoro nitakupa gharama ambazo sio sahihi.Mkuu nina kiwanja kigamboni kibada
Papo tambarale nataka nijenge kagorofa flani kadogo dogo hivi niandae ngapi
Chini iwe vyumba vitatu vya kulala sebule kila kitu alf juu niweke kachumba master tuu
Kwahitaji la Fundi mzuri wa tiles
,0693179844View attachment 1159302
Kwahitaji la Fundi mzuri wa tiles
,0693179844View attachment 1159302
Kwahitaji la Fundi mzuri wa tiles
,0693179844View attachment 1159302
300mMkuu nina kiwanja kigamboni kibada
Papo tambarale nataka nijenge kagorofa flani kadogo dogo hivi niandae ngapi
Chini iwe vyumba vitatu vya kulala sebule kila kitu alf juu niweke kachumba master tuu
Kuna alternative nyingi utashauriwa ikiwa ni pamoja na kufunga underground beam lakini mimi nashauri chimba msingi eneo lote ambalo utaweka kuta tafuta kifusi kizuri kama kile wanatumia kwenye barabara shundilia vizuri kama CM 15-20 mwagia maji kiloe kitasettle baada ya siku mbili shindilia vizuri upàte level anza kujenga msingi nyumba ila udongo utakaochimba utupe kabisaNashukuru nimekukuta online mtoa mada.
Natarajia kuanza ujenzi lakini nilitaka msingi wa jamvi, msingi ni wa nawe na fundi kaniambia zinahitajika trip 10 za mawe kwa ajili ya msingi huo.
Naomba msaada wa kujua je huu mzingi wa jamvi ya mawe, kokoto, molarm, mchanga na cement hautasababisha kupata mpasuko??
Udongo wa eneo ni mfinyanzi na ni eneo lililokuwa likitumiwa kwa kilimo cha mpunga.
Kiwanja hicho kiko Musoma na ukubwa wake ni sqm 1023.
Naomba ushauri wako mkuu. Nifanyeje au nijengeje msingi ambao hautasababisha nyumba kupata mipasuko??
Ahsante sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app