Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
- #241
Tujadili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujadili
Uzi muhimu wachangiaji wachache uzi wa walevi wa mshana unawachangiaji lukuki afrika haiwezi kuendelea kwa kenda kinyumenyumè
Tujadili
Page yao inaitwajenashukuru mkuu insta page yenu ni ipo nahitaji ramani natak jione sample za nyumba kwanza..nahitaji vyumba vitatu kimoja kiwe sc.jiko p.t na dinning sebule iwe kubwa kidogo
Fundi mahiri wa ujenzi
Nambie ramani unayotaka nitakupa chini ya 150kMe huwa mnanishangaza kwenye Ramani, bei ghali hadi laki 4 au 6. Huwa nachoka hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabis mwenyewe nikua na shida n raman ila bei zilinishinda..Me huwa mnanishangaza kwenye Ramani, bei ghali hadi laki 4 au 6. Huwa nachoka hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ramani yangu vyumba Vinne(one MB room) , sitting room, dinning room kitchen and storeNambie ramani unayotaka nitakupa chini ya 150k
Kinachokuchosha nn? Bei ya ramani ni 10% ya gharama za mradiMe huwa mnanishangaza kwenye Ramani, bei ghali hadi laki 4 au 6. Huwa nachoka hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Maana huwa tunamchukua Fundi mchundo unampeleka site Na powder anachora kulingana na maelekezo yako. Ili kuepuka hizi gharama zenu.Kinachokuchosha nn? Bei ya ramani ni 10% ya gharama za mrado