Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
- #381
Karibuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibuni
Karibuni
Karibuni
Karibuni
Jamaini naomba kuuliza kwa wataalamu na wazoefu. Bati za ANDO hazipauki kama za ALAF. Msaada nipo serious kweli maana nataka kupaua.
AminaHuu uzi na udumi milele...
Karibuni
Jibu swaliKiongozi naomba msaada wa bati nzuri ambazo hazipauki kama za ANDO LMT na ALAF LMT
Huyu Mkuu naona amekaa kumya
Bora ukajipanga uchukue ALAF mkuu, hayo mengine yanang'aa kwa muda tu baadae unaanza kujutia pesa yakoJamaini naomba kuuliza kwa wataalamu na wazoefu. Bati za ANDO hazipauki kama za ALAF. Msaada nipo serious kweli maana nataka kupaua.
Ando Limited ni superbrand miaka minne mfululizo kwa bizaa zao east africa. Na nimeona nyumba zaidi ya miaka 10 hazioneshi dalili hata kidogo ya kupaukaBora ukajipanga uchukue ALAF mkuu, hayo mengine yanang'aa kwa muda tu baadae unaanza kujutia pesa yako
Utakuwa mtu wa kwanza kusema bati za ALAF zikipambanishwa na Ando basi bati Alaf zinawahi kupauka...haya ni maajabu ya karne!![emoji28]Ando Limited ni superbrand miaka minne mfululizo kwa bizaa zao east africa. Na nimeona nyumba zaidi ya miaka 10 hazioneshi dalili hata kidogo ya kupauka
Na kunajamaa angu ameezekea Alaf Limited
Lakini zimesha anza kupaika. Nipeni uzoecu wenu
Jamani wana Jamiiforum mbona huu mjadala mmetuachia watu wa wili tushilikishane uzoefu hapa maana tunazungumzia ubora wa mabati ya rangi.Utakuwa mtu wa kwanza kusema bati za ALAF zikipambanishwa na Ando basi bati Alaf zinawahi kupauka...haya ni maajabu ya karne!![emoji28]