Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

Jamaini naomba kuuliza kwa wataalamu na wazoefu. Bati za ANDO hazipauki kama za ALAF. Msaada nipo serious kweli maana nataka kupaua.
 
KiongKiongozi naomba msaada hap
Jamaini naomba kuuliza kwa wataalamu na wazoefu. Bati za ANDO hazipauki kama za ALAF. Msaada nipo serious kweli maana nataka kupaua.
 
Kiongozi naomba msaada wa bati nzuri ambazo hazipauki kama za ANDO LMT na ALAF LMT
 
Jamaini naomba kuuliza kwa wataalamu na wazoefu. Bati za ANDO hazipauki kama za ALAF. Msaada nipo serious kweli maana nataka kupaua.
Bora ukajipanga uchukue ALAF mkuu, hayo mengine yanang'aa kwa muda tu baadae unaanza kujutia pesa yako
 
Ando Limited ni superbrand miaka minne mfululizo kwa bizaa zao east africa. Na nimeona nyumba zaidi ya miaka 10 hazioneshi dalili hata kidogo ya kupauka
Na kunajamaa angu ameezekea Alaf Limited
Lakini zimesha anza kupaika. Nipeni uzoecu wenu
 
Utakuwa mtu wa kwanza kusema bati za ALAF zikipambanishwa na Ando basi bati Alaf zinawahi kupauka...haya ni maajabu ya karne!![emoji28]
 
Jamani wana Jamiiforum mbona huu mjadala mmetuachia watu wa wili tushilikishane uzoefu hapa maana tunazungumzia ubora wa mabati ya rangi.
 
Umeezeka nyumba tayari. unaishi au bado. lakini popo wanaanza kuishi ndani. Utawezaje kuwaondoa na kuwadhibiti. Mwenye uelewa saidia.
 
Tofali moja la blok bei gani mkuu? Vipi mbona nyumba nyingi hapa tanzania hawapendi kutumia zile Tofali la Ku lock ?
 
Back
Top Bottom