Uchaguzi 2020 Fahamu vyama 19 vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba

Uchaguzi 2020 Fahamu vyama 19 vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Jumla ya vyama vyenye usajili wa kudumu nchini ni 19 vinatarajiwa kuchuana kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ambapo nafasi mbalimbali za uogozi kitaifa zitakuwa zinawaniwa na makada wa vyama hivyo.

Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nafasi hizo ni za Urais, Ubunge na Udiwani.

Vyama vyenye usajili wa kudumu vinavyoruhusiwa kusimamisha wagombea wa nafasi nafasi mbalimbali ni

1. Chama cha Mapinduzi (CCM)
2. Chama cha Wananchi (CUF)
3. Alliance for Democratic Change (ADC)
4. ACT-Wazalendo
5. ADA-Tadea
6. Demokrasia-Makini
7. Democratic Party (DP)
8. Sauti ya Umma (SAU)
9. Chama cha UDP
10. Chama cha TLP
11. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
12. Alliance for African Farmers Party (AAFP)
13. Chama cha Kijamii (CCK)
14. National Reconstruction Alliance (NRA)
15. United People's Democratic Party (UDPD)
16. National League for Democracy (NLD)
17. Union for Multiparty Democracy (UMD)
18. NCCR-Mageuzi.
 
Vyama vingine ni vya msimu.

Hao CCK ndio juzi wamepata ofisi sokoni mwembechai
 
Hawa chama cha sauti ya umma (SAU)

Nawakubali sana
IMG-20200807-WA0028.jpg
IMG_20200726_171833_891.jpg
Screenshot_20200726-212842.jpg


Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom