Jan-uary
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 984
- 1,058
Huwa inaombwa?Omba tu dozi kamili ya ARV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa inaombwa?Omba tu dozi kamili ya ARV
Hujaamini bado, waliotumia hii dozi wanajuaEti mwili umepigwa marungu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]We angalia afya yako, mambo ya kushangaa atajijua mwenyewe!
Uso mkavu avae sita tena ikibidi unamvalisha! Starehe ya dk 5 iniharibie life kisa?
Haulali nje!Mkuu sikuelewi, tuache kugegedana au tugegedane kwa kuwa makini unayegegedana naye?
Kama hukukoma....ndo ukome sasa ..Mimi hata sina cha kumpa Mungu, kaninusuru kwa watatu ambao nina uhakika, sijui wengine ambao sikuwahi kupima nao
Walipokupima walikupa jibu gani? Maana vipimo vya bio na unigold vinaonesha after days 10...Hofu ikawa kweli
Vidonge hivyo au mashetani?Asante, sio usiku tu muda wowote ukipitiwa na usingizi unaota unazikwa ukiwa hai
Ungepata maambukizi ungejuta sanaMimi niliwahi pewa hio Pep baada ya ndom kupasuka kwenye game. Nilikunywa siku mbili mateso niliyopata niliona nakua chizi maana nikaanza kuhisi kizunguzungu muda wote. Nikasema liwalo na liwe nikazitupa mbali. Kuja kupima baadae nikawa salama
Zaidi ya mashetaniVidonge hivyo au mashetani?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Chukua malimao
NegativeWalipokupima walikupa jibu gani? Maana vipimo vya bio na unigold vinaonesha after days 10...
NimekomaKama hukukoma....ndo ukome sasa ..
Hongera na pole bwana!
Bwana hii !mambo we acha Tuy! Inakera mno! We vidonge ngani vikubwa ivyo? Aiseee afu vina harufu kinoma, mbaya zaidi usku vinaleta ndoto za ajabu ajabu mno, kila kwa sasa nimejifunza, siwezi enda peku peku, NITAKULA PIPI NA GANDA LAKE!
Mm mwenzio nilipomaliza tu nilikaa kama siku tatu adi NNE nikawa fureshi!
Mimi nilikuwa nakula tu ila uchovu wake sio wa nchi hiiUkipiga dawa hii unaruhusiwa kula papuchi kama kawa..??
Nilimaliza dozi 31/01/18 lakini mpaka leo hii najisikia kichefuchefu, nitumie dawa gani itakayoondoa hii hali?