Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Wakuu,hv kondomu ni sawa tu na kilo moja ya sukari uidumbukize baharini kwamba itakolea?
Maana kuna kupima oil kwa kidole,kunyonya chuchu,kuzama chumvini,kupapasa na kote huku huvai gloves.Mi naona tuletewe condomu za mwili mzima tu
Wakati unasubiri condom ya mwili mzima endelea kupiga kavukavu
 
Tujitahidi kutumia mipira tu,wanaeneza maksudi anajua anao anakubali kirahisi sana na hakwambii uvae mpira, na akishajua hutavaa mpira anaikausha kwelikweli ili upate michubuko

Mh wengine wanapasua condom, solution ni kupima tu
 
kutokana wao wenyew waliupata kwa kuingizwa chaka na ndo maana wengi wao wanalipa kisasi kwa kuambukiza wenzao na akikuonea huruma kama ni mdada basi atakuzungusha ili mradi ukate tamaa

Mhh
 
Ukimwambia avae 6 si atakushangaa, utaanzaje sasa kumwambia avae 6 ?
We angalia afya yako, mambo ya kushangaa atajijua mwenyewe!

Uso mkavu avae sita tena ikibidi unamvalisha! Starehe ya dk 5 iniharibie life kisa?
 
Back
Top Bottom