mwanya2
Member
- Jul 21, 2015
- 94
- 49
Hiyo inawezekana anaikaushaje kwa makusudi?Tujitahidi kutumia mipira tu,wanaeneza maksudi anajua anao anakubali kirahisi sana na hakwambii uvae mpira, na akishajua hutavaa mpira anaikausha kwelikweli ili upate michubuko