nafiaafrca
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 248
- 308
Kasha jalibu kote paka bugando bila mafanikio ndoo sasa tumeanza kuomba msaada kama kunamtu alishawa pata tatizo kama hiro na alitumia dawa ganiPole sana mkuu, jaribu kwenda hospital ukawaone wataalamu wa masuala ya ngozi wakusaidie
mmh labda ajaribu hospito za nje ya nchi kama hapa bongo imeshindikanaKasha jalibu kote paka bugando bila mafanikio ndoo sasa tumeanza kuomba msaada kama kunamtu alishawa pata tatizo kama hiro na alitumia dawa gani
Mkuu mwambie rafiki yako afike KCMC kuna kitengo cha ngozi kinaitwa Dermatology atasaidiwa na atapona....wish u the bestKama picha inanyo onesha huyu nijamaa yangu alianza kuona ngozi ikibadilika nakuwa kama mtu alie unguwa na moto au donda linaro pona amehangaika bira mafanikio ili kuirudisha ngozi yake kwenye hali ya kawaida kama kunamtu anafaham dawa anaweza kutusaidia ili nguzi uludi kwenye hali yake ya kawaida
Tena imekuja kwenye paki ra usoItakua vitiligio hio., nasikia haina tiba
Rafiki yangu alishindwa sipendi Ku discourage wagonjwa ila nasikitika kusema kuwa hatapona ni kweli KCMC wana kitengo cha Dermatology ambapo Clinic yake ipo jumatano ila Ugonjwa huo hawezi kupona japo hauna athari kwenye Afya yake.Mkuu mwambie rafiki yako afike KCMC kuna kitengo cha ngozi kinaitwa Dermatology atasaidiwa na atapona....wish u the best
Unajuwa huyu jamaa nilikiuwa nae kikazi sehem fran nakipindi unamwanza turianza kama kumtakia kwamba amenza kujichubuwa sasa yeye aliniacha kazini sasa leo ndoo nimekutana nae uso wote umanza kubadirika rangi nakuwa mabaka mabaka nimesikitika sana paka nikaketa uzi ha jf maana anasema kasha hangaika sana bira mafanikioRafiki yangu alishindwa sipendi Ku discourage wagonjwa ila nasikitika kusema kuwa hatapona ni kweli KCMC wana kitengo cha Dermatology ambapo Clinic yake ipo jumatano ila Ugonjwa huo hawezi kupona japo hauna athari kwenye Afya yake.
Rafiki yangu anayo mikononi na kwenye Lips ugonjwa wa Ajabu sana nilikua nimeachana naye mda mrefu nilivyokutana naye juzi yameongezeka.
Nilikutana Pia na Watu wanaumwa magonjwa ya Ngozi Mimi nilikua na Via alama Fulani Vitatu na kwenye shingo vya ugonjwa X aisee nilitamani Kurudi watu wanaumwa magonjwa ya Ngozi lakini nilikutana na watu wanaougua huo ugonjwa.
Mambo ni vipi ndugu yangu mwenyewe na vitligo nisaidie namba ni pate ushauriNi-pm nikupe namba ya rafiki yangu mmoja alikuwa na ugonjwa huu lakini akapata nafuu.
Kweli kabisa ata mimi ni nao lkn ukwer auna dawa kabisa dawa n kuikubar Hali yakoPole sana mkuu,
Sitaki kukukatisha tamaa ya kupona lakini ukweli ni kuwa vitiligo, (mabaka meupe mno) haitibiki. Ni miongoni mwa magonjwa ya auto immune, yaani kinga ya mwili inashambulia cells zinazoitwa melanocyte ambazo ndio zinazotengeneza rangi nyeusi tuliyonayo.
Shida hii ni kasoro ya kuzaliwa na inafata ukoo japo si kila mtu katika ukoo aweza pata. Shida hii inawapata watu wa rangi zote..