Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

Kama picha inanyo onesha huyu nijamaa yangu alianza kuona ngozi ikibadilika nakuwa kama mtu alie unguwa na moto au donda linaro pona amehangaika bira mafanikio ili kuirudisha ngozi yake kwenye hali ya kawaida kama kunamtu anafaham dawa anaweza kutusaidia ili nguzi uludi kwenye hali yake ya kawaida
5a375c17703129fd249fec41f52e5930.jpg
 
Pole sana mkuu, jaribu kwenda hospital ukawaone wataalamu wa masuala ya ngozi wakusaidie
 
Pole sana mkuu, jaribu kwenda hospital ukawaone wataalamu wa masuala ya ngozi wakusaidie
Kasha jalibu kote paka bugando bila mafanikio ndoo sasa tumeanza kuomba msaada kama kunamtu alishawa pata tatizo kama hiro na alitumia dawa gani
 
Gafla tu imekua ivyo au kuna chemicals/Lotions alikua anatumia kwa ajili ya ngozi yake?

Tafuta Ma_Dermatologist watakusaidia sanaaa
 
Kasha jalibu kote paka bugando bila mafanikio ndoo sasa tumeanza kuomba msaada kama kunamtu alishawa pata tatizo kama hiro na alitumia dawa gani
mmh labda ajaribu hospito za nje ya nchi kama hapa bongo imeshindikana
 
Vitiligo is caused by a loss of pigment in the skin, due to destruction of pigment-forming cells known as melanocytes. Although vitiligo affects all races equally, it is more noticeable in dark-skinned people. Vitiligo cancause cosmetic problems.

source: google
 
Kama picha inanyo onesha huyu nijamaa yangu alianza kuona ngozi ikibadilika nakuwa kama mtu alie unguwa na moto au donda linaro pona amehangaika bira mafanikio ili kuirudisha ngozi yake kwenye hali ya kawaida kama kunamtu anafaham dawa anaweza kutusaidia ili nguzi uludi kwenye hali yake ya kawaida
5a375c17703129fd249fec41f52e5930.jpg
Mkuu mwambie rafiki yako afike KCMC kuna kitengo cha ngozi kinaitwa Dermatology atasaidiwa na atapona....wish u the best
 
Mkuu mwambie rafiki yako afike KCMC kuna kitengo cha ngozi kinaitwa Dermatology atasaidiwa na atapona....wish u the best
Rafiki yangu alishindwa sipendi Ku discourage wagonjwa ila nasikitika kusema kuwa hatapona ni kweli KCMC wana kitengo cha Dermatology ambapo Clinic yake ipo jumatano ila Ugonjwa huo hawezi kupona japo hauna athari kwenye Afya yake.

Rafiki yangu anayo mikononi na kwenye Lips ugonjwa wa Ajabu sana nilikua nimeachana naye mda mrefu nilivyokutana naye juzi yameongezeka.

Nilikutana Pia na Watu wanaumwa magonjwa ya Ngozi Mimi nilikua na Via alama Fulani Vitatu na kwenye shingo vya ugonjwa X aisee nilitamani Kurudi watu wanaumwa magonjwa ya Ngozi lakini nilikutana na watu wanaougua huo ugonjwa.
 
Unajuwa huyu jamaa nilikiuwa nae kikazi sehem fran nakipindi unamwanza turianza kama kumtakia kwamba amenza kujichubuwa sasa yeye aliniacha kazini sasa leo ndoo nimekutana nae uso wote umanza kubadirika rangi nakuwa mabaka mabaka nimesikitika sana paka nikaketa uzi ha jf maana anasema kasha hangaika sana bira mafanikio
 
Kuna dawa nyingiz,ila nilizowaelekeza watu zikawasaidia ni aina mbili.
1.Melagenina
2.Meladinine. Hii zipo za aina tofauti.Ni vyema kama umekaa na ugonjwa mda mrefu na umeanza kusambaa,muone mtaalamu wa ngozi akushauri ipi uanze nayo.Kama uko stage ya mwanzoni,anza na Meladinine 0,01% ya kupakaa. Chukua pamba,pakaa sehemu yenye mabaka,kaa ndandi angalau nusu saa.Wengine ukipakaa na kutoka mda huo huo kama kuna jua kali unababuka
 
Pole sana mkuu,

Sitaki kukukatisha tamaa ya kupona lakini ukweli ni kuwa vitiligo, (mabaka meupe mno) haitibiki. Ni miongoni mwa magonjwa ya auto immune, yaani kinga ya mwili inashambulia cells zinazoitwa melanocyte ambazo ndio zinazotengeneza rangi nyeusi tuliyonayo.

Shida hii ni kasoro ya kuzaliwa na inafata ukoo japo si kila mtu katika ukoo aweza pata. Shida hii inawapata watu wa rangi zote..
Kweli kabisa ata mimi ni nao lkn ukwer auna dawa kabisa dawa n kuikubar Hali yako
 
Back
Top Bottom