THAN0S
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 756
- 727
Do kisa niniNdo tushapigwa tayari.... account zimezuiliwa na serikali tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Do kisa niniNdo tushapigwa tayari.... account zimezuiliwa na serikali tayari
Tuhuma ya kutakatisha fedha na kufanya upatu na sio biashara
HahahahTatizo watanzania tunapenda vitonga sanaaaaa,,, Yaani tunataka kuingiza pesa tukiwa ghetto tumelala
Duuuu yale mabanda yaliyokua yanaonyeshwa kwenye acc yao insta hamkwenda kuyaona??Tuhuma ya kutakatisha fedha na kufanya upatu na sio biashara
Aisee.... Kuna watu wameweka Hela juzi tu... SaitakuwajeTuhuma ya kutakatisha fedha na kufanya upatu na sio biashara
Hizi ni Tuhuma tu na nyuma ya Tuhuma kuna mambo mengi na fitna zinaendelea. Tusiwe wepesi kutuhumu na kuita watu matapeli kwa kusoma tu JF. Hawa jamaa mie nawajua. Sijaweka pesa zangu lakini wana miradi ya kuku na wanauza sana. Toka nimesikia hizi habari za account zao kuzuiliwa kwa kufanya Upatu sijaelewa kabisa. Wanauza Kuku kwa wingi sana na bei zao ni rahisi mno. Mimi kila mwezi nanunua Kuku kwao na ukienda kununulia shambani unauziwa kila Kuku Sh5,500 na kuku ni mkubwa, very compepetive prices.Tuhuma ya kutakatisha fedha na kufanya upatu na sio biashara
Hawa hawana tofauti na Namaingo acha kuwatetea...Hizi ni Tuhuma tu na nyuma ya Tuhuma kuna mambo mengi na fitna zinaendelea. Tusiwe wepesi kutuhumu na kuita watu matapeli kwa kusoma tu JF. Hawa jamaa mie nawajua. Sijaweka pesa zangu lakini wana miradi ya kuku na wanauza sana. Toka nimesikia hizi habari za account zao kuzuiliwa kwa kufanya Upatu sijaelewa kabisa. Wanauza Kuku kwa wingi sana na bei zao ni rahisi mno. Mimi kila mwezi nanunua Kuku kwao na ukienda kununulia shambani unauziwa kila Kuku Sh5,500 na kuku ni mkubwa, very compepetive prices.
Uchunguzi ufanyike haki ipatikane, kama matapeli basi wapate haki yao na kama si matapeli waachiwe mradi wao sababu wameajiri vijana wengi sana wanajipatia kipato halali na kuna wananchi wamewekeza pesa zao.
Haki ndio kitu cha muhimu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
lakini kuna watu toka mwaka jana wanalipwa kama kawaida, wameshatajirika
Hizi ni Tuhuma tu na nyuma ya Tuhuma kuna mambo mengi na fitna zinaendelea. Tusiwe wepesi kutuhumu na kuita watu matapeli kwa kusoma tu JF. Hawa jamaa mie nawajua. Sijaweka pesa zangu lakini wana miradi ya kuku na wanauza sana. Toka nimesikia hizi habari za account zao kuzuiliwa kwa kufanya Upatu sijaelewa kabisa. Wanauza Kuku kwa wingi sana na bei zao ni rahisi mno. Mimi kila mwezi nanunua Kuku kwao na ukienda kununulia shambani unauziwa kila Kuku Sh5,500 na kuku ni mkubwa, very compepetive prices.
Uchunguzi ufanyike haki ipatikane, kama matapeli basi wapate haki yao na kama si matapeli waachiwe mradi wao sababu wameajiri vijana wengi sana wanajipatia kipato halali na kuna wananchi wamewekeza pesa zao.
Haki ndio kitu cha muhimu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia inabidilika na mifumo ya kibiashara na uendeshaji wake inabadilika. Hawa mfumo wao ni mgeni hapa Tz lakini unafahamika duniani. Leo nimesikiliza hii video iliwekwa youtube ndio nimejifunza kuna huu mfumo waitwa Crowd Farming.Bora mtu kama unaamua kuwekeza wekeza kivyako usimame ww kama ww, miaka ya nyuma kuna watu walikuja wasema unanua sungura mmoja laki moja wanakuwa wanakufugia wao ! Ww unakua unaenda kukagua sungura wako wanaendeleaje, mm nlivyosikia hadithi hzoo nikasema hapa kuna upigaji, nikaachanao, nasikia huko nako watu waligwa, nilivyoona ya mr kuku nikajua ndo yale yale
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji16][emoji16][emoji16].
Wewe utakuwa ni muhusika mmoja wapo.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"