Fahdu Davis umenikera sana leo, safari ya kurud Dar naiona ndefu sana

Fahdu Davis umenikera sana leo, safari ya kurud Dar naiona ndefu sana

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
473
Reaction score
1,682
Uongozi umefanya kila jitihada, mambo yote yanayotakiwa kufanyika yalifanyika lakn wewe ndio umeharibu kila kitu, kazi yako ilikuwa kulalamika tu uwanjani bila solutions

Hongera sana kwa kuivusha kisayansi Stellenbosch
 
Wewe si ulisema umechungulia kibuyu kikwambia mnashinda goli nyingi? Au kibuyu kilikudanganya
 
Matatizo ni Mengi humu.
Huo nao ni Uzi wa Kuupeleka kwa Great thinker?????.

1. Uongozi umefanya kitu gani???
2. Jitihada gani zimefanywa na uongozi?
3. Mambo gani viongozi waneyafanya???.
4.Fadrulahman amekosea nini????
5. Amelalamika nini????
6. Wewe ulitaka afanye nini?????

Mashabiki Mbumbumbu ndio Mtaji kwa Viongozi kuanzia selikalini hadi huku kwenye Mpira.

TATIZO NINALOLIONA MIMI NI
QUALITY.
QUALITY.
QUALITY.
 
Back
Top Bottom