Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 473
- 1,682
Wewe si ulisema umechungulia kibuyu kikwambia mnashinda goli nyingi? Au kibuyu kilikudanganyaUongozi umefanya kila jitihada, mambo yote yanayotakiwa kufanyika yalifanyika lakn wewe ndio umeharibu kila kitu, kazi yako ilikuwa kulalamika tu uwanjani bila solutions
Hongera sana kwa kuivusha kisayansi Stellenbosch