Faida 10 za kuoa mwanamke mwenye mtoto (single mother)

Ukikua ...utanikumbuka
Nadhani hapa hilo linakuhusu wewe zaidi hisia za kitoto ndiyo zinakupumbaza ugen wa mapenzi mpka inaparamia visivyo halali unaona halali, ukikua ukapata uzoefu ndiyo utaelewa mistake yako.
 
Mzeebaba nakuunga mkono pamoja na changamoto za single mother ila changamoto hizo zinapatikana pia hata kwa wanawake wasio single mothers,,,,hhiyo changamoto kubwa ni kugongewa ambayo inapatikana kwa wanawake wengine wowote pia.
Wewe ni wakwanza ku support

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
10. Wana nafasi ya kutosha kwa bibi kwa ajili ya kuingiza mkuyenge sio kama mabikra ambao lazima utumie nguvu kuingiza mkuyenge
 
Vp kama wameachana willingly
Mkuu acha kuzunguka zunguka, haijalishi waliachana kwa namna gani don't marry a single mom with her Ex alive.

Labda huyo mtoto awe alipatikana kwa njia za ukatili hivyo baba hawezi kujulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…