Ginner
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 1,532
- 2,065
Tupe mwongozo boss ...sio kweli sema huna mbinu,, ukitaka wa kulipe nakupa mbinu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe mwongozo boss ...sio kweli sema huna mbinu,, ukitaka wa kulipe nakupa mbinu
Sia rahisi hivyo,hao kuku 1000 wa kuenyeji unawapara pata aje? sio rahisiBas hawana faida mbona bora ufuge wa kienyeji yaan kuku buku faida laki saba hapo ingekuwa kuku wa kienyej ukipiga kwa hasara 10000×1000=na milion kumi hapo kwa hasara kwakwel ufugaji wa broila ni upumbavu kbs aah kumbe mnaongelea na mayai ok ok bas mi mpumbavu kabisa kuku wa broila wana faida sina msimamo biashara kichaa hizi bora ufuge nguruwe
eneo ukubwa wa heka sita uuzaji hadi miez 5 mana ni mbegu ambayo inakuwa kwa kasi, ufugaj wangu huwa hv majike yakitaga nakusanya mayai nayaficha mpaka pale baadh yao waanze kuhatami aka kulalia ngojen nakuja kuwapa mbinu ya ufugaj wa muda mfupUna eneo kubwa kiasi gani ? Je unawalisha au unawaachia ? Na je wa kienyeji wako wanachukua muda gani mpaka kuwauza (sababu kama mwenzako anachukua miezi miwili na wewe miezi sita) by the time wewe umefuga hao elfu sita mwenzako alishaondoa elfu 18....
Tunasubiri mkuueneo ukubwa wa heka sita uuzaji hadi miez 5 mana ni mbegu ambayo inakuwa kwa kasi, ufugaj wangu huwa hv majike yakitaga nakusanya mayai nayaficha mpaka pale baadh yao waanze kuhatami aka kulalia ngojen nakuja kuwapa mbinu ya ufugaj wa muda mfup
nawapata hivi: hapa lengo ni kupata kuku buku kwa miez sita nafanya hv natafuta majike yalioanza kutetea 100 majogoo 10 picha linaanza mmoja mmoja anaanza kutaga nachukua mayai naficha mpaka afikishe kumi au zaid mana kuku wa kienyej kama hayaon mayai yake anataga 20~25 na akiona hayaoni atajikuta ana hatamia ardh au kutaga tena, nachukua yale mayai namwekea anayo yamudu kama 15 ikifikia siku ya 20 nakuwa jiran kuanza kutoa vifaranga kabla,. na kuwahifadhi kwenye chumba chenye joto na kufuga kizungu kwa kipind cha wiki3 kipnd hiko mama yao anahatamia mengine, kifupi ktk mzunguko wangu uki kamilika kila kuku ana vifaranga 20+ na hakuna hata mmoja alie lea kifaranga kaz yao ni kutaga na kulalia katk kuku mia una vifaranga 1000+ hapo ni miez miwili najua hujanielewa mana ni somo panasia rahisi hivyo,hao kuku 1000 wa kuenyeji unawapara pata aje? sio rahisi
Hiyo laki 7 mkipatikana watu 1000 ana milioni 700 anaenda kuwekeza UTT kwa mwezi anakunja milioni 7Afu Kuna yule mr. Kuku alikua anasema umpe laki 7 akufugie bure, akuvunie bure na akuuzie sokoni Kisha akupatie laki kila mwezi na ukitaka kuchukua laki 7 yako mvunje mkataba anakupatia bila kujali zile lakilaki alizokua anakupatia kila mwezi[emoji23]
nawapata hivi: hapa lengo ni kupata kuku buku kwa miez sita nafanya hv natafuta majike yalioanza kutetea 100 majogoo 10 picha linaanza mmoja mmoja anaanza kutaga nachukua mayai naficha mpaka afikishe kumi au zaid mana kuku wa kienyej kama hayaon mayai yake anataga hadi 20~25 na akiona hakuna ya muda atajikuta ana hatamia ardh nachukua sasa yale mayai namwekea anayo ya mudu kama kumi na tano ikifikia siku ya 20 nakuwa jiran kuanza kutoa vifaranga kabla,. na kuwahifadhi kwenye chumba kenye joto na kufuga kizungu kwa kipind cha wiki3 kipnd hiko mama yao anahatamia mengine ktk mfumo wetu uki kamilika kila kuku ana vifaranga 20 na hakuna hata mmoja alie mlea kaz yao ni kutaga na kulalia ndan ya mzunguko katk kuku mia una kuku elfu3 had 3500 hapo ni miez mi tatu najua hujanielewa ila usijali ndio wenzako tulivyofuga, ndan ya mwaka na kuku elfu nane
Dah! Kiongozi mbona umekatisha tamaa sana wafugaji wa kuku wa kienyeji. Ni kweli completely hawana faida kiasi hicho? Au inategemea na umafugia wapi? Yaani shambani au mjini? Ninachojua mimi ni kuwa huwezi pata faida ya kuku wa kienyeji ukiwafugia mabandani halafu mjini tena. Hapo lazima lazima utukane matusi ya kila aina sababu ya cost ya chakula na time frame kuanzia vifaranga mpaka kuuza. Lakini ukiwafugia shamba trust me kuku wa kienyeji wanalipa sana
balikiwa tumepta elimu kwa ukubwaUSHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija
Kumekuwa na upotoshaji kwa baadhi wa watu wanaojiita wataalamu wa ujasiriamali, hasa wanaofanya shughuli za ufugaji kwa maandiko ya whatsapp bila kuwa na hata kuku mmoja bandani. Nimesukumwa kuandika bandiko hili hapa kutokana na jumbe mbali mbali za uufugaji wa kimtandao unaoshawishi vijana...www.jamiiforums.com
Hii thread inaweza kuwasaidia kidogo....ni ya miaka 8 iliopita
Nafuga kienyeji, ukitoa running costs zote per month sikosi Tshs 1,200,000 kama faida.Kuku wa kienyeji its a failed business ...hakuna business model utakayoisuka ya kuku wa kienyeji na ikalipa.
Actually kuku wa kienyeji ni biashara kichaa
inayumba vipiNlikua nafuga kuku chotara aina ya sasso lakini bei sokoni inayumbishwa na wafugaji baadhi, hivyo hakuna stability. Na kuku wako prone na magonjwa hata kama usimamizi ni mzuri
Bei ya kuku wa miezi mitatu hua bei yake ni average ya 13,000. Lakini kuna ambao wanauza mpaka 11,000 hata 10,000. Ambayo kwa wewe uliyopiga hesabu kuwa 13,000 unapata faida unayohitaji unashangaa hupati. Wateja wakubwa ni supermarkets, watu wa catering na ukiwa na connections na watu wa mahoteli. Sasa kukishakua na baadhi wanashusha bei na mnunuzi siku zote atalalia akushushe pia. Na nmeona kuwa eneo nililopo wafugaji wa chotara ni wengi so kunakua na kugombani wanunuzi hao hao. So lazima kubadilika kidogo kutokana na mazingira.inayumba vipi
Kuku wa kienyeji hadi uuze utakuwa ushawatunza mwaka, broiler ni mwezi mmoja..bora ufuge wa kienyeji yaan kuku buku faida laki saba hapo ingekuwa kuku wa kienyej ukipiga kwa hasara 10000×1000=na milion kumi hapo kwa hasara kwakwel ufugaji wa broila ni upumbavu kbs
sasa unafuga wa kienyeji au kitu gani mkuuBei ya kuku wa miezi mitatu hua bei yake ni average ya 13,000. Lakini kuna ambao wanauza mpaka 11,000 hata 10,000. Ambayo kwa wewe uliyopiga hesabu kuwa 13,000 unapata faida unayohitaji unashangaa hupati. Wateja wakubwa ni supermarkets, watu wa catering na ukiwa na connections na watu wa mahoteli. Sasa kukishakua na baadhi wanashusha bei na mnunuzi siku zote atalalia akushushe pia. Na nmeona kuwa eneo nililopo wafugaji wa chotara ni wengi so kunakua na kugombani wanunuzi hao hao. So lazima kubadilika kidogo kutokana na mazingira.
Soma comment yangu hapo juu kuhusu kienyeji.sasa unafuga wa kienyeji au kitu gani mkuu
Ulimuuliza huyo aliyekumovate!?? Alikujibu Nini!??Wadau, kuna mfugaji wa kuku hapa Dar ananiambia kila mzunguko wa kuku 1000, anapata faida ya Tsh Laki 7. Hapo soko likiwa zuri sana. Jamani hicho kipato ukiangalia mtaji wa Banda nk. Je kuna njia ya kuongeza faida kwa kupunguza Gharama?
Kuku mbili au!??Kwani mtaji ukiwa unaanza kufuga kuku inaweza kuwa sh ngapi?