Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Dunia is at its end
mtu anafanya dhambi halaf anakuja hadharani 'Kujimwambafai'
mtu anafanya dhambi halaf anakuja hadharani 'Kujimwambafai'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu app inaitwaje? Au weka link kama vpYaani nazungumzia kwa siku moja. Kwahiyo hapo unaweza kukuta siku tatu mfululizo unapiga M na ushee kila siku.
Akili yako tu... mimi nilikuwa mlevi, mcheza kamari na mvuta sigara lkn niliposema naacha nikaacha na sasa ni mchamungu tu.Unga,betting,pombe,sigara,nyapu, punyeto na ushabiki wa mpira Ni ngumu Sana kuacha!!
Kati ya watu 100 anatokaga huko mmoja tu
Bora bangi hata
Kuna muda mwingine kwenye vikao vya kiume wamama msiwe mnaingia.Dunia is at its end
mtu anafanya dhambi halaf anakuja hadharani 'Kujimwambafai'
Unajua maana ya 'Uraibu'?Akili yako tu... mimi nilikuwa mlevi, mcheza kamari na mvuta sigara lkn niliposema naacha nikaacha na sasa ni mchamungu tu.
Sio dhambiDunia is at its end
mtu anafanya dhambi halaf anakuja hadharani 'Kujimwambafai'
Daah hili jibu hili. Naweka akiba ya maneno.Kuna muda mwingine kwenye vikao vya kiume wamama msiwe mnaingia.
Ukijiona unaona kamari si dhambi wewe hutoki nje ya mawili haya.Sio dhambi
Safi sana. Huu ndiyo usawa sasa.Akili yako tu... mimi nilikuwa mlevi, mcheza kamari na mvuta sigara lkn niliposema naacha nikaacha na sasa ni mchamungu tu.
Watu wajinga mpaka ujinga wenyewe unawashangaa watu hao. Wanaona fahari kujifaragua kwa mambo ya kipuuzi kama haya.Dunia is at its end
mtu anafanya dhambi halaf anakuja hadharani 'Kujimwambafai'
Unaweza kuthibitisha kua mimi ni 'Bibie'?Sitakuja kucheza kamali mpaka nakufa. Sababu sisi Wanaume huwa hatuishi kwa kubabatisha.
Daah hili jibu hili. Naweka akiba ya maneno.
Sasa imekuwaje na wewe umo humu bibie?
Naweza kufanya hivyo.Unaweza kuthibitisha kua mimi ni 'Bibie'?
Nasubiri.....Naweza kufanya hivyo.
Pamoja saanNitaacha betting siku nikifa
Nitumie link nijiumge na hiyo casino ya mbeleMimi nacheza Bet365, Leo Vegas nabetway casinos kwenye slots. Ni ngumu kushinda jackpot lakini Uzuri ya online casino ukiweka the highest bet kuna asilimia kubwa utaondoka na hela ndefu ila ni kurisk. Mimi kuna siku highest bet ya kama euro/dollars 100 nikispin mara 5 maamae kitu kiligota kama 45 thousands dollars game iyo ni Age of Gods kings of Olympus.
Kuna hii megamoolah online casino kuna watu wanaondoka hadi kama dollars million 17.
Kuna Gladiator kuna finding of oz
Thanks mgeresi..na kwako pia,happy new year.Mkuu mkaldayo heri ya mwaka mpya
Mjinga ni aliyekuzaa na kukunyonyeshaUkijiona unaona kamari si dhambi wewe hutoki nje ya mawili haya.
1. Mjinga uliyep ndukia huna tofauti na mnyama au
2. Mgonjwa wa akili.
Akili iliyo salama inakubali ya kuwa Kamari ni jambo baya.
Dini bhana..zinafanya watu tunakuwa mazezeta.Ukijiona unaona kamari si dhambi wewe hutoki nje ya mawili haya.
1. Mjinga uliyep ndukia huna tofauti na mnyama au
2. Mgonjwa wa akili.
Akili iliyo salama inakubali ya kuwa Kamari ni jambo baya.