Faida na hasara nilizozipata kutokana na CASINO za mtandaoni

Nasubiri.....

Ushahidi 2 :
Kila siku unakiri ya kuwa wewe ni mwanamke na picha zako huthibitisha hilo(Unazo tuwekea humu) kadhalika unayo yaandika yanathibitisha hilo.

Ushahidi 3 :
Huu utakuja kuwaambia umma mwenyewe, ikitokea tukakutana mimi na wewe man to man.

Ushahidi 4 :
Kuliweka wazi jambo ambalo liko wazi ni kuzua tatizo lingine bali ni kuihujumu akili.

Ushahidi 5 :
Usiweke chakula juu ya chakula kingine.

Ushahidi 6 :
Tuthibitishie kama wewe si Mwanamke.
 
Unathibitishaje jinsia ya mtu kwenye maandishi? Hayo ni maandishi hata kwenye kanga yapo,

Picha zangu unajuaje kama ni zangu?

Bado hujathibitisha kama mimi ni 'Bibie'

Jaribu tena.
 
Unathibitishaje jinsia ya mtu kwenye maandishi? Hayo ni maandishi hata kwenye kanga yapo,

Picha zangu unajuaje kama ni zangu?

Bado hujathibitisha kama mimi ni 'Bibie'

Jaribu tena.

Haaa duniani kuna vituko, yaani ujiandike mwanamke wakati mwanaume? Uweke picha za mwanamke ukijitambulisha hivyo kumbe mwanaume?? Acha utani bhna mrembo
 
Unathibitishaje jinsia ya mtu kwenye maandishi? Hayo ni maandishi hata kwenye kanga yapo,
Sababu ushahidi wa kwanza ni ushahidi wa nafsi yako. Kinyume chake tuthibitishie ya kuwa wewe ni katika sisi.
Picha zangu unajuaje kama ni zangu?
Sababu huwa unasema ni wewe. Au huwa unatudanganya bibie ? Na kwanini utudanganye ?
Bado hujathibitisha kama mimi ni 'Bibie'
Tuthibitishie ya kuwa wewe ni mimi ? Ukiweza mimi nafunga hii ID na wewe utakuwa shahidi wa hili.
Jaribu tena.
Mimi kazi yangu nimemaliza. Kilichobaki ni wewe ukanushe ya kuwa si bibie.
 
Haaa duniani kuna vituko, yaani ujiandike mwanamke wakati mwanaume? Uweke picha za mwanamke ukijitambulisha hivyo kumbe mwanaume?? Acha utani bhna mrembo
Huyu niliwahi kumuomba awe mke wa tatu alikataa ila hakukanusha ya kuwa yeye si Mwanamke.

Kuna muda ukifikiria sana unahitimisha ya kuwa ana matatizo ya akili, japo yeye anaona yuko sawa, na hili ni maarufu sana, kama mtu mjinga mara nyingi hupenda kuambiwa ana elimu na akafurahia hilo au hujinasibu na elimu.

Almuhimu mimi nampa udhuru huyu bibie.
 
Mimi sio bibie,
Wanawake wananiita 'bwana wangu'
 
Unga,betting,pombe,sigara,nyapu, punyeto na ushabiki wa mpira Ni ngumu Sana kuacha!!
Kati ya watu 100 anatokaga huko mmoja tu

Bora bangi hata
nikiona mtu anaacha kuvuta bangi huwa namdharau, kama upo karibu yangu naweza hata kukunasa kofi. unaache bange kwa mfano?....eboo!!.

unless iwe umeshauriwakwa na daktari wako.
 
Mimi sio bibie,
Wanawake wananiita 'bwana wangu'
Nimekupa swali rahisi sana, lakini hujalijibu na nina jua huwezi kujibi mpaka unakufa.

Tuthibitishie ya kuwa wewe ni Mwanaume.

Au twende kwa mtindo huu. Mimo katika vitu ambavyo huwa navitamani sana, nahisi kama nimewahi kukwambia natamani sana uwe mke wangu wa nne, hakika nitafurahi sana.

Yaani mimi Ustadh Zurri/Jurjani nakupenda wewe bibie, leo hii watu wajue.
 
Hebu nifundishe na mimi mkuu. Sometimes nakuwa na kiasi fulani humu kwa simu,niwe najaa huko. Ila sihitaji ile beting ya mikeka ya timu. Huko kumenishinda
 
nikiona mtu anaacha kuvuta bangi huwa namdharau, kama upo karibu yangu naweza hata kukunasa kofi. unaache bange kwa mfano?....eboo!!.

unless iwe umeshauriwakwa na daktari wako.
Bangi haina uraibu mkuu unless labda unavuta mixer! Sio sawa na hayo makamari ambayo mtu hawezi acha akikosa pesa auze hata masofa
 
Nimekwambia thibitisha kua mimi ni 'Bibie'

Acha blah blah,

Nipo hapa nasubiri unithibitishie
 
Ila mkuu kwa jinsi unavyoshindwa kuwathibitishia,ndio wanazidi kujiongezea point!

Na mwisho wakuu tunaeza amini we KE ukashangaa Pm imejaa

Jitahidi uwathibitishie we dume la mbegu[emoji1787]
Nithibitishie mimi ni Ke,

Nipo hapa nasubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…