Faida na hasara ya kumiliki gari ya kutembelea

Kwanza tuanze na faida.

Sio siri kumiliki gari kunaimarisha hadhi yako hapo kitaani kwako. Unaonekana wa tofauti mwenye hadhi ya juu. Si ajabu watu wakamwacha mjumbe au balozi wa mtaa wakaja kwako wakidai eti uwasaidie pesa au kusuluhisha migogoro yao.

Unaonekana una fedha na uwezo hata kama ni apeche alolo.

Unaonekana mwenye furaha na amani hata kama kiukweli kwa ndani una huzuni ya moyo na masikitiko.

Unaonekana mwenye kujiamini hata kama ukweli haiko ivo.

Hasara kubwa ya kuwa na gari ya kutembelea ni hii hapa.

Gari ya kutembelea haiingizi pesa yoyote badala yake inakutaka utumie pesa yako kwa ajili ya kununua mafuta, spea na kugharamia matengenezo mbalimbali.

Kifupi kama una pesa ya mawazo au pesa yako ni ya ngama ni heri uachane kabisa kufikiria kumiliki gari au vinginevo nunua gari ya biashara ikuizingie pesa.

gari muhimu kumiliki ,kama unaweza kurun familia basi unaweza pia kumuliki gari.
 
Gari siku hizi ni basic need. Ukiwa na vyanzo vingi vya mapato automatic vitaweza cover hizo expenses.
 
Tusipangiane sw!!

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom