Faida na hasara ya kumiliki gari ya kutembelea

Faida na hasara ya kumiliki gari ya kutembelea

Uko sawa mkuu, gari ya usafiri binafsi unatakiwa angalau kila siku uwe na uwezo wa kupata faida ya TSH 100k kutoka kwenye miradi yako vinginevyo ukitegemea kukopa, mshahara kununua na kiendeshea gari utahangaika sana, muda mwingi gari utalipaki kwa kukosa spares, matengenezo oils na mafuta
Mtata umetisha sana
 
KUIWEKEA GARI MAFUTA UKATEMBELEA UKIHESABU NI HASARA, BASI MAISHA NAYO NI HASARA.
MFANO MIMI MWENYEWE, KILA SIKU NATUMIA SIYO CHINI YA TSH 25 -30 MATUMIZI YA KAWAIDA TU HAPO NDANI UNGA, SUKARI, MAFUTA YA KULA, MCHELE VIPO, NINA FAMILIA YA WATU 6.
KUNA KUNUNUA UMEME, KUNA KULIPIA MAJI, KUNA ADA ZA WATOTO.

UKIONA KUNUNUA GARI NA KULITUMIA NI HASARA, JUA HUJAFIKIA UWEZO WA KUNUNUA GARI. MAANA HUWEZI KUWA UNA MILIKI MAGARI YA BIASHARA, ALAFU WEWE MWENYEWE UNAGOMBSNIA DALADALA UNATAFUTA KWA AJILI YA NANI.
 
Unajuliza, sina gari sasa extra ya laki 6 mpaka laki tisa ambayo gari ilikiwa inaimeza nilipokuwa nalo ikowapi? Huna. Bora kuwa na hilo gari tu maana uwepo wake ndo unaifanya akili ifikirie wapi utapata pesa ya mafuta na service.
Ni sawa na ikiwa umepanga unalipa kodi ya 200k kwa mwezi unaweza kufikiri siku ukihamia kwako hiyo 200k itakuwa inabaki kama balance. Thubutu yako tena hali inakuwa ngumu zaidi mpaka unaanza kujiuliza ile ya kodi huwa inaenda wapo maana matumizi ni yale yale na upo kwako,
 
Hahaha
 
KUIWEKEA GARI MAFUTA UKATEMBELEA UKIHESABU NI HASARA, BASI MAISHA NAYO NI HASARA.
MFANO MIMI MWENYEWE, KILA SIKU NATUMIA SIYO CHINI YA TSH 25 -30 MATUMIZI YA KAWAIDA TU HAPO NDANI UNGA, SUKARI, MAFUTA YA KULA, MCHELE VIPO, NINA FAMILIA YA WATU 6.
KUNA KUNUNUA UMEME, KUNA KULIPIA MAJI, KUNA ADA ZA WATOTO.

UKIONA KUNUNUA GARI NA KULITUMIA NI HASARA, JUA HUJAFIKIA UWEZO WA KUNUNUA GARI. MAANA HUWEZI KUWA UNA MILIKI MAGARI YA BIASHARA, ALAFU WEWE MWENYEWE UNAGOMBSNIA DALADALA UNATAFUTA KWA AJILI YA NANI.
Uko sawa mkuu, wewe level za kuwaza hela ya mafuta umeshavuka. Kuna hawa waajiriwa wese wanaweka mwisho wa mwezi hela ikikata wanapaki gari
 
Kiukweli gari kuna muda unaweza usione umuhimu wake ila kuna dhahama zikikukuta unaweza tamani hata gari ya milioni 3 mathalani;

1. una dharura ya kupeleka mtoto au mtu kituo cha afya (muda huo bolt nk huwa havionekani)
2. Mvua imekaza kila kona usafiri uko rehani
3. Umekaa kituo cha daladala jioni/asubuhi na unasubiri watu wako nyomi sasa zile fujo za kuingia unaweza poteza simu, kuvunja vitu vya thamani, kuumizwa mbavu nk
4. Jua limewaka na unaenda mahala, jua la taifa kama jua la Dodoma unaweza tamani kupaa jua linawaka na hivi maji hamna shida si mchezo
5. Kutaka hadhi kwenye jamii hiyo ya wachache ..
 
Akili za ujasiliamali zimevuka mipaka, kwa maisha ya sasa hapa mjini kama una uwezo nunua gari. Gari zipo za aina mbalimbali, zipo gari za biashara (kama unataka faida) na nyingine ni kwa ajili ya kutembelea kulingana na mahitaji yako.

Lakini pia sio kila unachonunua ni kwa ajili ya faida, mengine ni kurahisisha maisha tu.

Kwa mfano hata nguo unazovaa hununui kwa faida maana zinahitaji kufuliwa kwa sabuni; hiyo ni gharama.

Hakuna namna utatofautisha kuishi na gharama.

Maisha ni gharama.

Jambo la muhimu ni kununua gari nzuri yenye ubora sawasawa na kipato chako.

Maisha hayataki kulazimisha mambo, kama una uwezo wa Vitz au Demio, Verisa baki huko kwenye gari unazomudu.
Usafiri wa uhakika kwa ulimwengu wa sasa ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom