BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Mtata umetisha sanaUko sawa mkuu, gari ya usafiri binafsi unatakiwa angalau kila siku uwe na uwezo wa kupata faida ya TSH 100k kutoka kwenye miradi yako vinginevyo ukitegemea kukopa, mshahara kununua na kiendeshea gari utahangaika sana, muda mwingi gari utalipaki kwa kukosa spares, matengenezo oils na mafuta
Bajaji zipo na bolt, uber 😀Ukitaka uone umuhimu wa kumiliki gari subiri masika alafu uwe na safar ya lazima.
Anaijua faida ya laki kila siku au anasema tu 😂Faida ya laki moja kwa siku?
Utasubiri mwisho utakufa, hela utaziacha
Mtaala mpyaHii car iliongezeka kwenye syllabus ipi ya civics
Sasa ulinunua la nini?Mtaani wakiniona na gari huwa wananiuliza uliipeleka wapi tulijua umeiuza ni mwendo wa boda boda na kutembea
La kupigia pichaSasa ulinunua la nini?
KUIWEKEA GARI MAFUTA UKATEMBELEA UKIHESABU NI HASARA, BASI MAISHA NAYO NI HASARA.Uko sawa mkuu, gari ya usafiri binafsi unatakiwa angalau kila siku uwe na uwezo wa kupata faida ya TSH 100k kutoka kwenye miradi yako vinginevyo ukitegemea kukopa, mshahara kununua na kiendeshea gari utahangaika sana, muda mwingi gari utalipaki kwa kukosa spares, matengenezo oils na mafuta
Si ungekodi tuLa kupigia picha
ItakuaMtaala mpya
Kuna koo kuanzia babu hadi mjukuu hakuna aliyewahi hata kufungua mlango wa gari.
Kuna watu wana miaka 50 hawajawahi kukanyaga accelerator
Acheni tutoe gundu.
Faida zinazidi hasara
Ni sawa na ikiwa umepanga unalipa kodi ya 200k kwa mwezi unaweza kufikiri siku ukihamia kwako hiyo 200k itakuwa inabaki kama balance. Thubutu yako tena hali inakuwa ngumu zaidi mpaka unaanza kujiuliza ile ya kodi huwa inaenda wapo maana matumizi ni yale yale na upo kwako,Unajuliza, sina gari sasa extra ya laki 6 mpaka laki tisa ambayo gari ilikiwa inaimeza nilipokuwa nalo ikowapi? Huna. Bora kuwa na hilo gari tu maana uwepo wake ndo unaifanya akili ifikirie wapi utapata pesa ya mafuta na service.
HahahaNi sawa na ikiwa umepanga unalipa kodi ya 200k kwa mwezi unaweza kufikiri siku ukihamia kwako hiyo 200k itakuwa inabaki kama balance. Thubutu yako tena hali inakuwa ngumu zaidi mpaka unaanza kujiuliza ile ya kodi huwa inaenda wapo maana matumizi ni yale yale na upo kwako,
Uko sawa mkuu, wewe level za kuwaza hela ya mafuta umeshavuka. Kuna hawa waajiriwa wese wanaweka mwisho wa mwezi hela ikikata wanapaki gariKUIWEKEA GARI MAFUTA UKATEMBELEA UKIHESABU NI HASARA, BASI MAISHA NAYO NI HASARA.
MFANO MIMI MWENYEWE, KILA SIKU NATUMIA SIYO CHINI YA TSH 25 -30 MATUMIZI YA KAWAIDA TU HAPO NDANI UNGA, SUKARI, MAFUTA YA KULA, MCHELE VIPO, NINA FAMILIA YA WATU 6.
KUNA KUNUNUA UMEME, KUNA KULIPIA MAJI, KUNA ADA ZA WATOTO.
UKIONA KUNUNUA GARI NA KULITUMIA NI HASARA, JUA HUJAFIKIA UWEZO WA KUNUNUA GARI. MAANA HUWEZI KUWA UNA MILIKI MAGARI YA BIASHARA, ALAFU WEWE MWENYEWE UNAGOMBSNIA DALADALA UNATAFUTA KWA AJILI YA NANI.
Namaanisha faida utakayokuwa unaipata kwenye biashara yako iwe angalau TSH 100000 kila siku na kwa mwezi mzima faida yako iwe TSH 2.8—3.0m au zaidiUnamaanisha gari linahitaji 2,800,000 kulelewa kila mwezi?