Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Maana yake unapenda sana hasara? waulize yaliyotupata...just think kuezua nyumba yote na kupiga bati mpya ina gharimu kiasi gani tena ukiwa umeingizwa mkenge ukajengea haya mabati ya chuma chakavu toka Mlandizi ndio kabisaa baada ya miaka mitatu ukiwa ndani ya nyumba unaweza chungulia ndege ya Emirates inapita juu ya paa lako bila taabu
[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my iPhone using JamiiForums