Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Napenda sana flatroof
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Standard gauge ni 28Bati za guage 26 ndio the best! Hizi wanajengeaga majengo ya serikali zaidi. Ila kwa makapuku wengi ndio hutumia 28 na kuendelea bati kama za vibanda vya mbwa ukikangaga mgongo inapinda!
Hiyo fasheni itaisha sasa hivi kama ilivyoisha msumbiji. Mimi ningekuwa yeye ningejenga tu super roof.Flat roof ni nzuri changamoto ni kwamba inahitaji finishing ya uhakika, garden nzuri kuzunguka nyumba otherwise itaonekana kama jumba lililoachwa na waarabu.
Huo mjengo ni wa hovyo kama yalivyokuwa maslope ya zamani ya waarabu na wahindi. Super roof ndio habari ya mjiniNyumba za hivi huku kwetu zinaonekana dunk sana mjengo mkubwa ukipaua hivi unaonekena u.ejenga slope ya watu Wa chini kabisa maana ufahari upon kwenye bati.
Pia wataona kama mskiti ...jengo la serekali....
Yote hayo ni mitazamo ya watu.
Vp kudumu kwa bati maana Ni lazima uweke below 10 nyuz ....uchafu unatua...unyevu....kutu vp
Hiyo fasheni itaondoka kwa kasi ya 4GHuu ndio ujengaji nyumba kisasa, wale wa roof kama kibanda cha mbwa tubadilike. Nyumba ya style hio inaitwa contemporary house.
Hii kwako haipendezei? Ama kweli uzuri upo machoni kwa mtu!
![]()
Joto linategemea Na headroom ya nyumba yenyewe Na openings Na wala sio roof type
Pitched roof Na flat Roof tofauti wake ni Kwenye material tu pitched roof inakula material ya Mengi (mbao misumali, bati capping etc), gharama kubwa ya uezekaji etc
Flat roof hvyo vyote hapo inaweza kua nusu tu hapo
Matumizi
Pitched roof inatumika zaidi Kwa maeneo ambayo barafu zinaanguka mfn Russia Japan, Korea etc
Lkn pia inaweza kutumika Kwa sehem zenye mvua nyingi ili ku-drain faster maji ya mvua
Ila pia inaweza kutumika Kwa matumizi ya kawaida tu hasa kwetu hapa.
Flat roof ni delicate Sana haiitaji hzo bughuza kabisa ila by appearance ina muonekano mzuri Sana na inaleta nakshi
Mfan View attachment 807811
Sasa hiyo ndo flat? Unajua maana ya flat bro?Kunakua na gutter inayokusanya maji kwa pembeni, kuhusu mvua usiwaze kabisa
Wanajamvi nahitaji ushauri,
Nimedunduliza nakaribia kuvunja kibubu cha ujenzi wa nyumba. nimeshachorewa ramani na makadirio ya gharama. leo kwa shauku kubwa nimemuonyesha ramani boss wangu akanishangaa kwanini nimechora ramani yenye paa la gharama kubwa namna hiyo😵 akaniambia flat roo ingegharimu robo tu ya gharama zote za paa hili (ramani yangu ina paa la kawaida tu).
Amenistua kwasababu mchora ramani alinihakikishia hii ramani ni ya nyumba nafuu kabisa.
Sasa wadau nisaidieni mawazo kw ayeyote anaejuaa faida na hasara za kujenga nyumba yenye flatroof kabla sijabadilisha mawazo nikaingia mkenge.
Natanguliza shukrani za dhati
Huo mjengo ni wa hovyo kama yalivyokuwa maslope ya zamani ya waarabu na wahindi. Super roof ndio habari ya mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia nguvu kubwa kuponda,unasahau kuwa kila mtu na mapenzi yake. Wewe unaona ya hovyo wengine wanaona ndio bora.Hiyo fasheni itaisha sasa hivi kama ilivyoisha msumbiji. Mimi ningekuwa yeye ningejenga tu super roof.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba baada ya kimya cha muda mrefu humu jamvini naona finally umejitokeza ukiwa tayari kabisa kwa ajili yaku-party hapo kesho kwny Corona day,hahah.Unatumia nguvu kubwa kuponda,unasahau kuwa kila mtu na mapenzi yake. Wewe unaona ya hovyo wengine wanaona ndio bora.
Kesho tunaanza rasmi pate afta pate hadi jumanneMzee baba baada ya kimya cha muda mrefu humu jamvini naona finally umejitokeza ukiwa tayari kabisa kwa ajili yaku-party hapo kesho kwny Corona day,hahah.
Nakuzingua aisee.
Hahah itabidi hadi wenye ma hardwares watupe punguzo la 80% kama wale wenzao wa nguo ili tusherekee murua.Kesho tunaanza rasmi pate afta pate hadi jumanne
Napenda sana flatroof
Sent from my iPhone using JamiiForums
Itakuwa hukupata mtaalam wa kuezeka. For the past eight years nimekuwa nikiishi kwenye contempo house Kama inayojadiliwa hapa sijakumbana na kuvuja wala dalili Kama iyo. Fundi wako alikuwa NI maiko?Maana yake unapenda sana hasara? waulize yaliyotupata...just think kuezua nyumba yote na kupiga bati mpya ina gharimu kiasi gani tena ukiwa umeingizwa mkenge ukajengea haya mabati ya chuma chakavu toka Mlandizi ndio kabisaa baada ya miaka mitatu ukiwa ndani ya nyumba unaweza chungulia ndege ya Emirates inapita juu ya paa lako bila taabu
wacha iondoke tu but i'm gonna build on that design anyday!