Faida na hasara za kujenga nyumba yenye flat roof

Hapo utachoka, nimefuatilia namna unavyojadiliana naye nimegundua jambo moja.
Huyu mtu hajui chochote kuhusu ujenzi.
Kama anathubutu kusema utatumia matofali mara mbili zaidi ni wazi kuwa hajui chochote kuhusu ujenzi.
Watu wengi wapo huru kujadili hata mambo wasiyoyajua na huwa na confidence ya kutosha kabisa.
 
Kufunguka nusu kwa dirisha liwe Aluminum, mbao au PVC ni aina ya utengenezaji wako.
Kuna design mbalimbali za madirisha ya aluminium, haya yanayofunguka nusu Sliding Door ndio yamekuwa maarufu hapa TZ.
Lakini unaweza kuwa na aluminium windows inayofunguka dirisha lote hizi zinaitwa "casement Aluminum window.
Uchaguzi ni wako.
 


Okey!

Mimi napenda hiyo ya dirisha kufunguka lote
Napenda mchana nisiwashe taa ili kupata mwanga na nuru yakutosha ya asili.
Sipendi giza

Napenda mchana nikiwa ndani kuwe na nuru ya asili kama ya nje.


Sasa bongo mafundi hodari wa kutengeneza madirisha ya alluminium ya kufunguka kote wapo wapi wenye uzoefu?

Maana siyo fundi atakaze kujifunzia kwenye kazi yangu, hiyo kwa kweli hapana.
 
Ni nzuri kwa afya na kupunguza matumizi ya umeme kwenye taa na feni.
 
Unatumia nguvu kubwa kuponda,unasahau kuwa kila mtu na mapenzi yake. Wewe unaona ya hovyo wengine wanaona ndio bora.
Siyo nguvu kubwa. Toka fasheni hiyo imeingia watu wengi wala hawaishobokei
 
Siyo nguvu kubwa. Toka fasheni hiyo imeingia watu wengi wala hawaishobokei
Acha ushamba hii design ipo siku nyingi sana ila washamba kama wewe ndio mnaona design mpya. Ipo na itaendelea kuwepo.
 
Labda wewe ndio hujawahi kujenga



Nina Nyumba, kubwa kabisa.

Na kama mtu amejenga anajua jinsi Kujenga ilivyo Kazi, so anaheshimu hata aliyejenga Vyumba viwili, maana ndio uwezo wake.

Na kwa jinsi maoni mengi niliyoyasoma yanaponda dzain flan za Nyumba, nikajua kabisa hakuna wajengaji hapo.

Mwenye Nyumba kigae, hawez mcheka mwenye Nyumba ya bati, the same mwenye nyumba ya Roof ya kawaida hawez mdharau au kumuona Mshamba mwenye Flat Roof.
 
Mimi ni foreman wa hizo nyumba,na currently niko kwenye ujenzi wa moja ya nyumba kama picha alivyotuma kule juu,tuheshimiane,nilimpuiza kule juu kwasababu yeye ndiye hajui,nikaona haina haja ya kubishana,naweza kukutumia picha hata kesho nikipata muda nikuelekeze,hizo nyumba nimesimamia ujenzi zaidi ya tatu,na nina miaka zaidi ya 10 kwenye field.mtafute mtu ambaye ameshajenga kama hiyo.atakueleza,sibishani na watu ambao kila kitu wao wanajua.
 
Wewe ndio mshamba tu na mpumbavu
Usilazimishe hoja shenzi wewe. Unaniita mshamba unanijua nyau wewe. Si ajabu hujawahi hata jenga pumbafi
Acha ushamba hii design ipo siku nyingi sana ila washamba kama wewe ndio mnaona design mpya. Ipo na itaendelea kuwepo.
 
Huyo atakua ana hardware vaa u kiwanda cha mabati naona biashara itasua mana flat roof hazili mabati mengi..so anona anaweza anza kuchoma mahindi kama flat roof ziki take over.


#MaendeleoHayanaChama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mda unavyoenda flat roof zinatake over sasa hivi maana mabati ya rangi yamekuwa mengi alafu gharama kubwa ukija kwenye mbao balaaa nani anataka huo ujinga ni flat roof tu mzee sasa ndio inabamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…