REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Nyie mmejenga super roof sasa mnaona wenzenu wapo kwenye flat roof hamuamini kinachotokea watu wanasave cost mzee issue uwe kwako overHuo mjengo ni wa hovyo kama yalivyokuwa maslope ya zamani ya waarabu na wahindi. Super roof ndio habari ya mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
usiwe mvivu, kuna uzi una trend humu unajibu maswali yako yote ndugu, utafute kwenye jukwaa la uchumi maana mods wameshindwa kutengeneza jukwaa rasmi la masuala ya UjenziHabari bandugu
Kama kuna mtu ana uzoefu na kupaua bati aina ya hiddenroof
Je kuna faida au athari gani kama ukipaua mtindo huu msaada.
Hidden roof zimegawanyika kulingana na thamani ya pesa yako. Ukitaka ya 20M utachorewa, vivyo hivyo kwa ya 80M na kuendelea.Umeona dirisha hilo,nafuu hilo?,pia kuna guter za zege na chemba zake,zinaweza kuwa kati ya nne (guter),nane chamber,gharama yake vifaa na labour,na chamber zinapanda na ukuta wa nyumba wakati wa ujenzi,kiufupi hizi nyumba zina mambo mengi,labda ujenge kiswazi ulazimishe,kama unafata ramani,hizi nyumba sio za kila mtu kujenga.View attachment 1461956
Ndio ya kiswazi nayosema,hiden ya mil 20?Hidden roof zimegawanyika kulingana na thamani ya pesa yako. Ukitaka ya 20M utachorewa, vivyo hivyo kwa ya 80M na kuendelea.
Bati ya msouth unajua bei yake?nilivyoelewa Mimi isijekuwa unaongelea decra maana bei ya paa tu kwa nyumba ya kawaida ujipange 35ml+Mkuu unajua tatizo siku hizi ukitaka kuweka bati nzuri gharama inakua juu sana. Pia mbao ni ghali sana kwa sasa. Mimi nimepiga mahesabu ya kuweka bati ya msouth nikalinganisha na gharama ya kuzungusha tofali + bati na mbao zake inakuja nusu ya bei ya bati ya msouth peke yake, hapo sijaweka mbao wala ufundi
Ndiyo, ukitaka uone gharama ya hidden weka hayo mazege zege kila mahali ndo utajua hizo nyumba ni za Mamilioni mengi.Ndio ya kiswazi nayosema,hiden ya mil 20?
Hivi ikianza kusumbua unabomoa matofali Kyle juu ili urekebishe Na ubadili bati au inakuwaje?Kwa vile umeomba ushauri basi wacha tushauri.
Flat roof ni cheaper sana kuliko pitched roof, lakini kama kutakua na leakage ili ufanye maintenance basi pitched roof ni cheaper kuliko flat roof,
Pia kwa life span , flat roof ni kuanzia 10 -15 years, ukipita huo mda basi inaanza kusumbua,
Kama nipo kwenye nafasi yako ningechagua pitched roof
Naomba hii ramani ya nyumbaKama hii si ipo poa? View attachment 1087868
Hapo hizo tofali umeanzia msingi, au kunyanyua boma tu!?Hapo kwa nyumba ya kawaida,hizo tofali ni tofauti ya kozi tano,sasa mfano hiyo nyumba hizo imekula zaidi ya tofali 400 ,cement,mchanga,labour ,mbao za kutosha unapata, hilo dirisha hapo kushoto litatafuna pesa za kutosha na yapo matano .hapo kwenye hizo nguzo tatu mpaka paishe ujishike aisee,kitu ambacho high roof hakuna.sasa hujapiga plasta,na hujalipa fundi hayo maukuta ya juu,aina ya rangi za hii nyumba sio zile za 30000 .bado ni nafuu?View attachment 1461954