Faida na hasara za kujenga nyumba yenye flat roof

Faida na hasara za kujenga nyumba yenye flat roof

Kuvuja kwa hiz nyumba kunasababishwa na mafundi,

wengi wao hawafahamu namna zinavyoezekwa bali ubishi wakulazimisha tuuu!!

But ukimpata mtaalam anayeelewa kuziezeka wala hazivuji!!

Kwa kauzoefu kadogo si kweli materials ya uwezekaji inakuwa cheap, labda bati na mbao tu ndo zitatumika chache but cement na nondo ili kutengeneza rental na kenopi kwaajili ya kuezekea nyumba na kuteka maji ili nyumba isivuje ni nying!!

Finishing nayo ya aina hii ya nyumba haitaki vidirisha vidogo, inataka madirisha makubwa, inataka urembo urembo ambao utakulazim kuwa unafanya mentainace kila baada ya muda fulan!

So still ni expensive tena kuliko hzi za mabati kushika mbingu!!

Na ukifika level ya rental tafuta mtaaalam akusaidie kuwa simamia mafundi kuandaa ezeko lasivyo itavuja mpaka ujute
 
Hiyo slab hapo pamoja na nguzo kuwepo hapo inaweza kugharimu hela ya bati karibu 20,kuna nondo na ufundi wake,selemala,cemennt kokoto,mchanga,mbao,labour,eti hiden ni nafuu..[emoji41][emoji41]
20200528_170430.jpg
 
Hapo kwa nyumba ya kawaida,hizo tofali ni tofauti ya kozi tano,sasa mfano hiyo nyumba hizo imekula zaidi ya tofali 400 ,cement,mchanga,labour ,mbao za kutosha unapata, hilo dirisha hapo kushoto litatafuna pesa za kutosha na yapo matano .hapo kwenye hizo nguzo tatu mpaka paishe ujishike aisee,kitu ambacho high roof hakuna.sasa hujapiga plasta,na hujalipa fundi hayo maukuta ya juu,aina ya rangi za hii nyumba sio zile za 30000 .bado ni nafuu?
20200528_170256.jpg
 
Umeona dirisha hilo,nafuu hilo?,pia kuna guter za zege na chemba zake,zinaweza kuwa kati ya nne (guter),nane chamber,gharama yake vifaa na labour,na chamber zinapanda na ukuta wa nyumba wakati wa ujenzi,kiufupi hizi nyumba zina mambo mengi,labda ujenge kiswazi ulazimishe,kama unafata ramani,hizi nyumba sio za kila mtu kujenga.
20200528_170402.jpg
 
Habari bandugu

Kama kuna mtu ana uzoefu na kupaua bati aina ya hiddenroof

Je kuna faida au athari gani kama ukipaua mtindo huu msaada.
 
Habari bandugu

Kama kuna mtu ana uzoefu na kupaua bati aina ya hiddenroof

Je kuna faida au athari gani kama ukipaua mtindo huu msaada.
usiwe mvivu, kuna uzi una trend humu unajibu maswali yako yote ndugu, utafute kwenye jukwaa la uchumi maana mods wameshindwa kutengeneza jukwaa rasmi la masuala ya Ujenzi

cc JamiiForums
 
'Hiden roof' ni zile nyumba za kiarabu zenye mapaa yasiyoonekana?

Kama ndiyo aina hiyo (mpauo wa slope), faida yake ilikuwa ni ubanifu wa mabati.

Kutaja nyumba 'kabila' hiyo kwa ujenzi wa kisasa ni sawa na kuanza kuchoresha ramani ya 'msumbiji type', familia watakushangaa!
 
The hidden roof (野屋根, noyane)[note 1] is a type of roof widely used in Japan both at Buddhist templesand Shinto shrines. It is composed of a true roof above and a second roof beneath,[1] permitting an outer roof of steep pitch to have eaves of shallow pitch, jutting widely from the walls but without overhanging them.[2] The second roof is visible only from under the eaves and is therefore called a "hidden roof" (giving its name to the whole structure) while the first roof is externally visible and is called an "exposed roof" in English and "cosmetic roof" (化粧屋根, keshōyane) in Japanese. Invented in Japan during the 10th century, its earliest extant example is Hōryū-ji's Daikō-, rebuilt after a fire in 990.[3]



History and structure


270304AB-B14D-44F1-A7C3-D1975A5F0F66.jpeg
270304AB-B14D-44F1-A7C3-D1975A5F0F66.jpeg
 
Umeona dirisha hilo,nafuu hilo?,pia kuna guter za zege na chemba zake,zinaweza kuwa kati ya nne (guter),nane chamber,gharama yake vifaa na labour,na chamber zinapanda na ukuta wa nyumba wakati wa ujenzi,kiufupi hizi nyumba zina mambo mengi,labda ujenge kiswazi ulazimishe,kama unafata ramani,hizi nyumba sio za kila mtu kujenga.View attachment 1461956
Hidden roof zimegawanyika kulingana na thamani ya pesa yako. Ukitaka ya 20M utachorewa, vivyo hivyo kwa ya 80M na kuendelea.
 
Mkuu unajua tatizo siku hizi ukitaka kuweka bati nzuri gharama inakua juu sana. Pia mbao ni ghali sana kwa sasa. Mimi nimepiga mahesabu ya kuweka bati ya msouth nikalinganisha na gharama ya kuzungusha tofali + bati na mbao zake inakuja nusu ya bei ya bati ya msouth peke yake, hapo sijaweka mbao wala ufundi
Bati ya msouth unajua bei yake?nilivyoelewa Mimi isijekuwa unaongelea decra maana bei ya paa tu kwa nyumba ya kawaida ujipange 35ml+
 
Kwa vile umeomba ushauri basi wacha tushauri.

Flat roof ni cheaper sana kuliko pitched roof, lakini kama kutakua na leakage ili ufanye maintenance basi pitched roof ni cheaper kuliko flat roof,
Pia kwa life span , flat roof ni kuanzia 10 -15 years, ukipita huo mda basi inaanza kusumbua,
Kama nipo kwenye nafasi yako ningechagua pitched roof
Hivi ikianza kusumbua unabomoa matofali Kyle juu ili urekebishe Na ubadili bati au inakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwa nyumba ya kawaida,hizo tofali ni tofauti ya kozi tano,sasa mfano hiyo nyumba hizo imekula zaidi ya tofali 400 ,cement,mchanga,labour ,mbao za kutosha unapata, hilo dirisha hapo kushoto litatafuna pesa za kutosha na yapo matano .hapo kwenye hizo nguzo tatu mpaka paishe ujishike aisee,kitu ambacho high roof hakuna.sasa hujapiga plasta,na hujalipa fundi hayo maukuta ya juu,aina ya rangi za hii nyumba sio zile za 30000 .bado ni nafuu?View attachment 1461954
Hapo hizo tofali umeanzia msingi, au kunyanyua boma tu!?
 
Back
Top Bottom