Uchaguzi 2020 Faida tutakazopata Watanzania NCCR Mageuzi atakapokuwa chama kikuu cha upinzani baada ya Oktoba 2020

Mi nilidhani NCCR inajipanga kuiondoa CCM madarakani kumbe kuwa chama kikuu cha upinzani duh.
 
Bia yetu,
Huu ni uwongo Wa mchana kweupe, mgombea Wa NCCR Wa urais 1995 alipata asilimia ngapi? Mbona mnawadanganya watu hapa?
 
Neno Zuri Sana Ukiona MwanaCCM anakisifia Chama Cha Upinzani Kama huyu Jamaa gundua chama hicho ni Dhaifu na Hakina Madhara yoyote kwa Wababe wa CCM. Chama Cha upinzani Nyakati Hizi bado tu ni CHADEMA. Hiyo NCCR unayoisifiaTunajua ni CCM- b
Alisifiwa sana Mrema na TLP yake,wakaona haibebeki!Sasa wamehamia NCCR kutest mitambo!
 
Unaongea hayo sababu buku 7 umelipwa mapema subir uanze kukopwa na bwana slowslow miez mi3 mfululizo kama utakuwa na energy ya kupost utumbo tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…