Uchaguzi 2020 Faida tutakazopata Watanzania NCCR Mageuzi atakapokuwa chama kikuu cha upinzani baada ya Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Faida tutakazopata Watanzania NCCR Mageuzi atakapokuwa chama kikuu cha upinzani baada ya Oktoba 2020

Mi nilidhani NCCR inajipanga kuiondoa CCM madarakani kumbe kuwa chama kikuu cha upinzani duh.
 
Bia yetu,
Huu ni uwongo Wa mchana kweupe, mgombea Wa NCCR Wa urais 1995 alipata asilimia ngapi? Mbona mnawadanganya watu hapa?
 
Neno Zuri Sana Ukiona MwanaCCM anakisifia Chama Cha Upinzani Kama huyu Jamaa gundua chama hicho ni Dhaifu na Hakina Madhara yoyote kwa Wababe wa CCM. Chama Cha upinzani Nyakati Hizi bado tu ni CHADEMA. Hiyo NCCR unayoisifiaTunajua ni CCM- b
Alisifiwa sana Mrema na TLP yake,wakaona haibebeki!Sasa wamehamia NCCR kutest mitambo!
 
Back
Top Bottom