Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

🤣Hivi mnajua kifo nini biological...kifo sio mdudu wa kumweka na kumtoa kifo ni process...huwezi sema Mungu aliumba binadamu kama alivyo saa hivi with all the organs and systems with all the dying cells and reborn cells halafu useme hamna kifo. Lakini mababu walijua life ni kama maji kwenye ndoo unahamisha tu kwenye ndoo nyingine ndo shida ilipoanzia hapo
 
Neno ‘Nothing’ Nii katika ukomo wa uelewa wa five senses. Kinaweza kuwepo lakini haimaanishi ni ‘nothing’

Five senses zinaweza kung’amua as ‘Nothing’ na inaweza kuwa sawa kabisa kwa muktadha huo.

I hope unaelewa.
🤣🤣🤣🤣Basi Babu Christmas is real yupo nje ya 5 Senses zetu... Haya bishana na Mimi..muabudu Babu Christmas basi
 
🤣Ufufuke uende wapi acha tamaa
 
🤣We unajuaje haya ..mwandishi alikwambia au... shida wakristo mkiona tatizo kwenye Biblia mnakimbilia kumlaumu mwandishi sijui Mara ye binadamu Mara lugha ya picha...ye kakuambia hivyo kwa Nini uassume, huoni ukileta hizi assumptions ndo unasababisha more division coz kila mtu atakuja na lugha yake ya picha ehe tutamsikiliza nani Sasa kila mtu mwalimu wa kiroho
 

Basi kumbe basi nyoka alizungumza na Eva live live[emoji1787][emoji1787]

Tafuta mwalimu bro
 

Wewe ndo unajua leo kuna dying cells and reborn cells. Hayo ni matokeo ya uharibifu wa dhambi.

Lakini haikuwa hivo tangu mwanzo. Mathayo 19:8
 
Mungu alifanya vyema sana kuweka kifo (mwisho) kwa binadamu.
Bila kifo watu wangepelekeana moto kwa mparange mchana kweupe tena unaweza ukashikwa kwa nguvu na kulawitiwa na hakuna pa kushitaki.
 

[emoji23][emoji23][emoji23]

We jamaa una unga mwingi kinoma.

Kwamba mnara wa babeli walitaka kwenda kumwona Mungu mawinguni[emoji23][emoji23]

Our theology are worldly apart.

Kadiri unavozidi kujibu unazidi kuexpose your illiteracy in God’s doctrine

Kwa ufupi hawakutaka kujenga kwenda mbinguni huko anakoishi Mungu. Ndio ujue nina maana njema tu ninapokwambia unahitaji mwalimu

Kwa kuwa uko katika mode ya ubishi hata nikikuelezea kwa mapana yake bado utakataa.

Version ya theology uliyonayo ni KITUKO

Na ndio ninakuelewa kwa nini huamini kama kuna Mungu.

Kwa unga huo lazima uishie kuwa Atheist

Tafuta mwalimu ndugu smotor.
 
Mkuu tupe bas malink tupate madini
 
Binafsi najua duniani tumekuja kupiga pepa moja tu ukipass basi mambo ni safi huko Rohoni.

Pepa lenyewe:Maisha ya binadamu wote hayalingani hvyokila mtu anawajibu wa kutafuta namna ya kucover up maeneo ya maisha ya binadamu mwenzie yanayomiss,mfano.Umetoka home umekula umeshiba na mfukoni unaakiba kama 3000 hiv unapita maeneo unaona kuna mtu au unajua kabsa mtu fulan atakuwa hajatia chochote tumboni siku hyo na hana uhakika kbs wa kula ukaenda ukampa 2000 ukabakiwa 1000,yule yy akala akamshukuru Mungu pengne hata akakubarik baada ya kuonyesha kujali kwako.Hapo unakuwa umetimiza jukumu lako la kuja duniani.

Sasa huo ndio ulipaswa uwe ni mfumo wa kila mtu popote duniani iwe ni katka masomo,makazi,matibabu,faraja na hata Ushauri pia isiwe inafanyika kwa maonyesho bali katka upendona ukijua kuwa ww pia utapenda usaidiwe bila kuvuta macho ya watu na kutaka sifa,au kusemasema na kutangaza baada ya kusaidia.Inakuwa ni silent na kimyakimya yaan inakuwa ni natural code kama salam tu.Ingewezekana kuwa hvyo basi mambo mengne yote magum yangekuwa rahisi[emoji16][emoji16][emoji16] ila sasa Kujisifu,kutaka sifa,uchoyo na ubinafsi,Ushindani na mashindano yasiyo na maana ndio jadi yetu.

Yesu mwenyewe alisema...AMRI KUU NAWAPENI UPENDO....Yesu Kristo alishatuvunjia Code kazi kwetu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Basi kumbe basi nyoka alizungumza na Eva live live[emoji1787][emoji1787]

Tafuta mwalimu bro
🤣Huyo mwalimu ni nani....ana ujuzi gani..nae si ka wewe tu..ndo maana Kuna madhehebu kibao coz kila mtu ana lake
 
Wewe ndo unajua leo kuna dying cells and reborn cells. Hayo ni matokeo ya uharibifu wa dhambi.

Lakini haikuwa hivo tangu mwanzo. Mathayo 19:8
🤣nani kakuambia kulikuwa Hamna kifo..mti wa uzima ulikuwepo wa Nini asa
 
Unaelewavkuwa hujajibu nlichokuuliza!?

Umehubiri tu,
Na trick ulizokuja nazo hapo si za kimjadala, unataka kunihadaa kiakili.

Pangua hoja wewe mwanatheology
 
Kwa mujibu wa biblia takatifu bustani ya Eden ilikuwepo hapa duniani Tena nchini Iraq Kati ya mto Tigris na Elufurati
 
Bustani ya Edeni ni hadithi iliyoelezwa katika dini ya Abrahamaiki, ikiwa ni pamoja na Uyahudi, Ukristo, na Uislamu. Katika hadithi hiyo, Bustani ya Edeni inaelezwa kama mahali pa kipekee ambapo Mungu aliweka wanadamu wa kwanza, Adam na Hawa (Eva), na ilikuwa ni paradiso kamili ya uzuri na neema.

Ni muhimu kutambua kwamba hadithi ya Bustani ya Edeni haielezi tukio la kihistoria ambalo linaweza kufikiwa kwa njia ya uchunguzi wa kisayansi au ramani. Badala yake, hadithi hiyo ina nia ya kutoa mafundisho ya kiroho na maadili kwa wafuasi wa dini hizo.

Inafaa kutambua pia kwamba kuna tofauti ndogo katika maelezo ya Bustani ya Edeni kati ya dini hizo tatu. Katika Biblia ya Kiebrania, ambayo inatumika katika Uyahudi na Ukristo, hakuna ufafanuzi wa kijiografia wa mahali ambapo Bustani ya Edeni ilikuwa. Katika Uislamu, kuna maelezo kidogo yanayotaja kwamba Bustani ya Edeni iko ardhini, lakini tena, hakuna habari ya kijiografia ya mahali hasa.

Katika mtazamo wa kisayansi, hakuna ushahidi wa kihistoria au kijiolojia unaounga mkono uwepo wa Bustani ya Edeni kama mahali halisi duniani. Hadithi hiyo inachukuliwa zaidi kama hadithi ya kidini yenye maana ya kiroho.

Kuhusu hadithi ya Adam na Eva kula tunda la mti wa katikati, ni sehemu ya hadithi ya Biblia inayojulikana kama Kitabu cha Mwanzo. Hadithi hiyo inafundisha kuhusu uasi wa kwanza wa binadamu dhidi ya amri ya Mungu. Kimsingi, inaelezea jinsi Adam na Eva walivunja agizo la Mungu la kutokula tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya. Hadithi hiyo inachukuliwa kama mfano wa jinsi dhambi iliingia ulimwenguni na kuleta matokeo yake kwa binadamu.

Ni muhimu kutambua kwamba hadithi hii inachukuliwa kwa njia ya kiroho na isiyokuwa ya kihistoria na wengi wa wafuasi wa dini hizo. Inasisitiza umuhimu wa kumtii Mungu na athari za kutotii amri zake.
 
[emoji38][emoji38]jamaa anahofu sana kuacha chips kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…