DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
God is real
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lilishaliwaHilo tunda la katikati tuliloambiwa tusile ni lipi?
I also tell young men God Is realGod is real
I also tell young men God is realGod is real
Means, ulitaka safari ya moja kwa moja. Lakini hata kusingekwepo na kifo, bado binadamu angeomba afe."MUNGU angetuuliza kila mmoja kama utakubali kuishi ili uje kufa baadae kuliko kutufanyia umafia kama huu."
Nakazia ni umafia wa hali ya juu sana.
Yeye ni muweza wa kila kitu alikuwa na uwezo kutuumba bila hayo tunayoita madhambi!!Ni hivi kijana Mungu alimuumba binadamu na lengo la Mungu ni kwamba binadamu asife ,kifo kilikuja baada ya binadamu kutenda dhambi ya kula lile tunda ambalo lilikuwa la kutambua mema Na mabaya Na kabla ya kula tunda binadamu alikua haujui ubaya wowote so kula tunda kulifanya binadamu aondoke kwenye lengo la Mungu Kwa kuujua ubaya,na ubaya ndio uliozaa mauti so mauti ilikuja baada ya binadamu kuujua ubaya automatically kifo kikatokea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Okay basi wewe ni samaki na ni mbuzi upo katikati... Ongea point sio shiti sawa
To bealive in God is not about argumentative battle , believe for ur own or not.I also tell young men God is real
Means, ulitaka safari ya moja kwa moja. Lakini hata kusingekwepo na kifo, bado binadamu angeomba afe.
Sas kama lengo la Mungu mwenye uwezo na ujuzi wote ilikuwa kuumba watu wasife, huoni kuwa project yake ilifail!?Ni hivi kijana Mungu alimuumba binadamu na lengo la Mungu ni kwamba binadamu asife ,kifo kilikuja baada ya binadamu kutenda dhambi ya kula lile tunda ambalo lilikuwa la kutambua mema Na mabaya Na kabla ya kula tunda binadamu alikua haujui ubaya wowote so kula tunda kulifanya binadamu aondoke kwenye lengo la Mungu Kwa kuujua ubaya,na ubaya ndio uliozaa mauti so mauti ilikuja baada ya binadamu kuujua ubaya automatically kifo kikatokea
Kuna tofauti gani ya ulichosema na kitu ambacho hakipo...yaani nothing..
Haya maisha hayana formula, ishi kwa kutenda mema na kuyaacha mabaya huku ukimpendeza Mwenyenzi MunguHabari zenu,
Natumaini wote wazima.
Huwa najiuliza swali hili kila siku. Na jibu sijawahi kupata, sasa kuna umuhimu gani wa kuishi duniani hali ya kuwa utakufa?
Biblia inasema kuwa Adamu na Hawa walikula tunda pale edeni eti ndo sababu tunakufa. Ina maana kuwa kifo hakikuwa kabla ya kula lile tunda na hata sijui nitunda gani hilo, biblia imetuficha kutupa ukweli.
Sasa kifo na tunda linahusiana na nini? kama MUNGU hakutaka Adam na Hawa wale lile tunda yanini aliliweka kwenye bustani ya edeni? majaribio mengine bana.
Hilo tunda lina ubaya gani? Kitu umekiumba kwanini ukataze kisiliwe? Biblia imetudanganya hapo.
Jamani hata kwa akili ya kawaida kweli upande mazao yako shambani halafu ukataze familia yako kula kweli inakuja? Biblia imeficha ukweli.
Hivi kweli uzae watoto wako alafu uje kuwauwa kisa hawajakutii au hawajafanya utakacho??
Kama tuliumbwa ili tufe ina faida gani kuishi duniani. MUNGU angetuuliza kila mmoja kama utakubali kuishi ili uje kufa baadae kuliko kutufanyia umafia kama huu.
Mtu unahangaika kutafuta maisha kwa kila hali hata mda mwingine hupati milo yako vizuri ili kujibana upate maisha manzuri, sasa unafanya yote ya nini wakati utakufa?
Mambo haya yanachanganya kichwa sana.
Mkuu, unajua kusoma kwa uelewa!?Now umenarrow down to the core of our discussion.
Huyo Mungu wa juu mawinguni ndio Mungu ambaye hayupo na simjui pia, wala hajaelezewa hivo katika Bibilia.
Bibilia imemuwasilisha kwetu Mungu ambaye ni roho wala hakai sehemu inaitwa mawinguni.
Hiyo idea ya Mungu wa mawinguni ni doctrine ambayo ni potofu na ndio hicho nimekuwa nikikuambia kuwa, msingi wa doctrine yako ukiyumba huko mbele lazima uone biblia ni kitabu cha kutungwa.
Mimi sio mmoja wa hao wanaoamini Mungu anaishi mawinguni, ninaamini kwa ushahidi wa bibilia kuwa Mungu ni roho na anapatikana kila mahali.
Mara nyingi sana Bibilia imekuwa ikiaddress kama “Mungu wa mbinguni” na ikaeleweka vibaya kama Mungu anayeishi mawinguni. Hii ni matokeo ya usomaji mbovu wa maandiko pasipo kuzingatia kanuni zote za kutafsiri maandiko.
Consequently, idea hii imepelekea wengi kuamini kwamba kuna safari ya kwenda mbinguni huko ambako inaaminika Mungu anaishi, which is wrong and indoctrinal.
Ukishaamini hivo lazima uone bibilia ni kitabu cha uongo na cha kutungwa na watu tu.
Then njibu maswali yangu nliyokuuliza kwanini umeyaacha.!?Now umenarrow down to the core of our discussion.
Huyo Mungu wa juu mawinguni ndio Mungu ambaye hayupo na simjui pia, wala hajaelezewa hivo katika Bibilia.
Bibilia imemuwasilisha kwetu Mungu ambaye ni roho wala hakai sehemu inaitwa mawinguni.
Hiyo idea ya Mungu wa mawinguni ni doctrine ambayo ni potofu na ndio hicho nimekuwa nikikuambia kuwa, msingi wa doctrine yako ukiyumba huko mbele lazima uone biblia ni kitabu cha kutungwa.
Mimi sio mmoja wa hao wanaoamini Mungu anaishi mawinguni, ninaamini kwa ushahidi wa bibilia kuwa Mungu ni roho na anapatikana kila mahali.
Mara nyingi sana Bibilia imekuwa ikiaddress kama “Mungu wa mbinguni” na ikaeleweka vibaya kama Mungu anayeishi mawinguni. Hii ni matokeo ya usomaji mbovu wa maandiko pasipo kuzingatia kanuni zote za kutafsiri maandiko.
Consequently, idea hii imepelekea wengi kuamini kwamba kuna safari ya kwenda mbinguni huko ambako inaaminika Mungu anaishi, which is wrong and indoctrinal.
Ukishaamini hivo lazima uone bibilia ni kitabu cha uongo na cha kutungwa na watu tu.
Biblia ni kitabu ambacho mwenye akili timamu akikisoma kwa lengo la kutafuta majibu, anajikuta anaongeza maswali tu.Kiongozi hii sawa na kuzaa watoto alafu unaweka shimo kuwa mtatumbukia. Unawawekea shimo la nini? Kuweka ule mti wa ujuzi wa mema na mabaya ilikuwa na haja Gani? Wakati hawakumkosea chochote.?
Na kwanini aliwafukuza bustanini ili wasile matunda ya mti wa uzima wakawa wazima.? Kuna maswali mengi sana hayako pouwa kabisa.
Hiyo ni definition ya kisichokuwepo.Anything that is not physical and can not be sensed by our five senses. That which is beyond natural
Then njibu maswali yangu nliyokuuliza kwanini umeyaacha.!?
Hiyo ni definition ya kisichokuwepo.
Unataka kusema kuwa Mungu muweza wa yote angeshindwa kuumba ulimwengu huo ambao kifo hakiwezekani na dunia ikatosha watu wote milele?Je unaamini kila chenye mwanzo kina mwisho? Kama kifo hakingekuwepo, hii dunia ingetosha kubeba watu wote?
Mkuu usikimbie hoja.Maswali yote uliyouliza yana-stem up from this incorrect idealogy ya Mungu wa Mawinguni.
So nimedeal na mzizi
I hope it’s clear
Ukomo wa fibe senses!?Neno ‘Nothing’ Nii katika ukomo wa uelewa wa five senses. Kinaweza kuwepo lakini haimaanishi ni ‘nothing’
Five senses zinaweza kung’amua as ‘Nothing’ na inaweza kuwa sawa kabisa kwa muktadha huo.
I hope unaelewa.