Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

hoja dhaifu kama hizi ndio zinafanya maelezo ya wasioamini uwepo wa Mungu yaonekane yana mantiiki.

yaani Mungu muweza ya yote alishindwa kubaini kwamba ipo siku binadamu aliyemuumba atakuja kutenda dhambi?.
Vituko havitaisha duniani...🤣
 
Unajichanganya mwenyewe.

Hiyo ni hadithi imecopiwa kule Sumeria.

Ni hadithi kama zile za
Pazi na jogoo.
Nani atamfunga paka kengele,
Sungura na fisi.. N. K

Huyo Mungu katungwa tu na watu wajinga wajinga wasiojua hata jua linaenda wapi usiku.

Habari za tunda la katikati ni ujinga na ni illogical
 
Kwahyo Mungu alifanya project isiyokuwa na specific objectives?

Yani project ambayo unaona kuwa alikuwa hajielewi anataka nini yeye kama designer.

Inamaana Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hakujua kama watu wangekula hilo tunda mpaka akaliweka humo bustanini !?
 
Hapo ndo pakujiuliza??
 
Ule mti ulikuwepo bustanini lakini hakupaswa kuliwa na ndio maana Mungu alimwambia Adamu na Eva ni kama vile bangi unaambia usivute utachizi but watu wanavuta tuu japo kua washaambiawa effect zake
Hizo ni hadithi tu acheni kuhadaa umma.
Kwahyo Mungu hakujua nini kitatokea?
Huo mti ulikuwa na lengo gani kuwekwa humo?

Huyo Mungu muweza wa yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo na wala hawezekaniki kuwepo
 
Kwahyo Mungu akamtuma Yesu afe ili iwaje sasa.
Kuna logic gani hapo ya mwanae wa pekee kufa halafu akomboe dhambi?

Anahesabia wenzake dhambi ni nani?
 
Nani kakuambia kabla ya kula lile tunda kulikuwa hamna kifo? If kifo hakikuwepo why kulikuwa na mti wa uzima wa milele? Soma Biblia vizuri usisikilize wachungaji
 
Hamna sehemu kwenye Biblia inasema kifo kimekuja baada ya kula tunda acha uwongo
 

Unajua kuna vitu huvielewi I used to be like u but elimu ya mambo ya kiroho ni elimu pana sana na inahitaji imani kuielewa Kuna for nutshell mambo ya rohoni yanaongozwa Kwa kanuni binadamu tuliumbwa Kwa mfano wa Mungu so tuna uwezo mkubwa sana ndani yetu nafsi yako inauwezo wa kufanya maamuzi binafsi rejea kwenye mfano wa ibrahim wakati Mungu anampa mtihani wa kumpima imani Kwa kumtoa sadaka mwanawe so kama Mungu angekua anajua ya kwamba ibrahimu hawezi Kwa nn Mungu alimjaribu ibrahimu so Kuna nguvu flani Au nafsi flani binadamu kapewa ambayo Mungu hawezi kuijua
 
Za kuambiwa changanya na za kwako... Hilo tunda ni Bikra...
 
Faida ya kuchimbia mbegu ardhini ni ipi mkuu? Si itaota na kuzaa zaidi? Ndivyo ilivyo kwa kifo cha binadamu, kina faida kubwa sana kwa maisha ya kiroho.
 
Ebu leta mambo hapa. Sasa nawe unaaza kuficha si ndio uchawi na udwazi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…