Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa story yako is it fair wewe uteswe kisa Babu yako alikula chapati bila ruhusa? Huyo Mungu yupo fair?Hatukuumbwa tufe ila kutokana na kutotii maagizo ndio maana ikatolewa adhabu hiyo, mfano rahisi ni huu je wewe baba yako akikwambia usifanye hiki halafu we ukakaidi kipi kitakukuta??
Pamoja na hayo na kupewa kutokufa, lakini binadamu alipaswa kutii maagizo ili awe hai mfano Adamu alitakiwa aishi kama binadamu ili aendelee kubaki hai mfano. Isingetegemewa apande juu ya mti mrefu halafu ajitupe chini asijeruhiwe hapana vyote vilipaswa kuzingatiwa
By the way, maisha ni matamu sababu tunakufa sipati picha leo hii bado tungekuwa na kina kingunge, Yuda eskarioti, plato etc sasa si dunia ingekuwa inaboa sana, we unakutana na watu wamezaliwa enzi za nuhu😁😁
Ndo maana waafrika mnaishi maisha maskini na duni yasiyo na maendeleo alafu wazungu wanaishi maisha ya kitajiri yenye ujuzi na technology. Wameachana na dhana potofu Kama hizi..hizi dhana ndo walizitumia katika utumwa katika ukoloni...eti tunateseka Ila baada ya kifo Kuna uzima..nani ameenda amerudi..Kuna dini kibao ndo mchezo huu huu ili kuchukua sadaka za watu na kucontrol maisha yao. Ukiwa umekufa this is your life.Life is a cycle, kufa sio mwisho wa kuishi...
Hivyo unakufa ili uhamie maisha ya upande mwingine, kifo ni kama tiketi tu...
Sayansi imekuambia hivyo...Ila story za mababu wayahudi wanasema Kuna mtu atakuja kulikalia jua siku ya mwisho.kila kitu ukionacho kitakufa tofauti tu mda .mfano jua ili litakufa baada ya miaka bilioni 5
Ndo maana waafrika mnaishi maisha maskini na duni yasiyo na maendeleo alafu wazungu wanaishi maisha ya kitajiri yenye ujuzi na technology. Wameachana na dhana potofu Kama hizi..hizi dhana ndo walizitumia katika utumwa katika ukoloni...eti tunateseka Ila baada ya kifo Kuna uzima..nani ameenda amerudi..Kuna dini kibao ndo mchezo huu huu ili kuchukua sadaka za watu na kucontrol maisha yao. Ukiwa umekufa this is your life.
Faida ya kuishi duniani ni kuenjoy maishaMleta mada kauliza swali hili...
Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?
Je, ulichoandika wewe kinajibu hilo swali?
BIBLE its a Coded book tulia hivyo hivyo ufe na ujinga wakoHabari zenu,
Natumaini wote wazima.
Huwa najiuliza swali hili kila siku. Na jibu sijawahi kupata, sasa kuna umuhimu gani wa kuishi duniani hali ya kuwa utakufa?
Biblia inasema kuwa Adamu na Hawa walikula tunda pale edeni eti ndo sababu tunakufa. Ina maana kuwa kifo hakikuwa kabla ya kula lile tunda na hata sijui nitunda gani hilo, biblia imetuficha kutupa ukweli.
Sasa kifo na tunda linahusiana na nini? kama MUNGU hakutaka Adam na Hawa wale lile tunda yanini aliliweka kwenye bustani ya edeni? majaribio mengine bana.
Hilo tunda lina ubaya gani? Kitu umekiumba kwanini ukataze kisiliwe? Biblia imetudanganya hapo.
Jamani hata kwa akili ya kawaida kweli upande mazao yako shambani halafu ukataze familia yako kula kweli inakuja? Biblia imeficha ukweli.
Hivi kweli uzae watoto wako alafu uje kuwauwa kisa hawajakutii au hawajafanya utakacho??
Kama tuliumbwa ili tufe ina faida gani kuishi duniani. MUNGU angetuuliza kila mmoja kama utakubali kuishi ili uje kufa baadae kuliko kutufanyia umafia kama huu.
Mtu unahangaika kutafuta maisha kwa kila hali hata mda mwingine hupati milo yako vizuri ili kujibana upate maisha manzuri, sasa unafanya yote ya nini wakati utakufa?
Mambo haya yanachanganya kichwa sana.
Sayansi imekuambia hivyo...Ila story za mababu wayahudi wanasema Kuna mtu atakuja kulikalia jua siku ya mwisho.
Ni fair kwa sababu ama ni hasi au chanya na hakuna hasichanya or any other way around itKwa story yako is it fair wewe uteswe kisa Babu yako alikula chapati bila ruhusa? Huyo Mungu yupo fair?
Unaweza fananisha urithi na uzao wote kuumia katika magonjwa njaa shida vita utumwa etc kisa Babu alikula chapati ambayo amewekewa kwenye sahani asile?Ni fair kwa sababu ama ni hasi au chanya na hakuna hasichanya or any other way around it
Kwani Babu zetu wanapoacha legacy ama urithi je hatufurahii yale waliyoacha hata kama hatukuyavujia jasho hata tone??
Vipi yasiyo mema? yes, tutake au tusitake, thats it ishatokea
Kunakitu ulitaka kukiandika ILa hujakiandika.Unajua elimu ya kiroho watu hawaijui vizuri ,kwanza unatakiwa utambue tunakufa mwili lakini nafsi ni immortal yani haifi so sisi binadamu wote tulishaumbwa toka zamani Kwa iyo kuna transition kuanzia rohoni kuja kwenye mwili then rohoni tena kwenye u milele Kwa iyo sasa Mungu alipoona binadamu kaujua upande wa pili wa ubaya Na kumbuka Mungu kiasili hakai na ubaya wowote so ili kutuokoa kwenye hii dhambi ndipo akamleta yesu ili aweze kutusaidia kuuona uzima ule wa milele yani kufanya restoration
Ukiwa utelezini huwa mawazo haya yanakujia au pale ni mapambio na kusifu.muwe mnashukrani sometime😂jokeHabari zenu,
Natumaini wote wazima.
Huwa najiuliza swali hili kila siku. Na jibu sijawahi kupata, sasa kuna umuhimu gani wa kuishi duniani hali ya kuwa utakufa?
Biblia inasema kuwa Adamu na Hawa walikula tunda pale edeni eti ndo sababu tunakufa. Ina maana kuwa kifo hakikuwa kabla ya kula lile tunda na hata sijui nitunda gani hilo, biblia imetuficha kutupa ukweli.
Sasa kifo na tunda linahusiana na nini? kama MUNGU hakutaka Adam na Hawa wale lile tunda yanini aliliweka kwenye bustani ya edeni? majaribio mengine bana.
Hilo tunda lina ubaya gani? Kitu umekiumba kwanini ukataze kisiliwe? Biblia imetudanganya hapo.
Jamani hata kwa akili ya kawaida kweli upande mazao yako shambani halafu ukataze familia yako kula kweli inakuja? Biblia imeficha ukweli.
Hivi kweli uzae watoto wako alafu uje kuwauwa kisa hawajakutii au hawajafanya utakacho??
Kama tuliumbwa ili tufe ina faida gani kuishi duniani. MUNGU angetuuliza kila mmoja kama utakubali kuishi ili uje kufa baadae kuliko kutufanyia umafia kama huu.
Mtu unahangaika kutafuta maisha kwa kila hali hata mda mwingine hupati milo yako vizuri ili kujibana upate maisha manzuri, sasa unafanya yote ya nini wakati utakufa?
Mambo haya yanachanganya kichwa sana.
Bwana wee hamna cha tunda wala nini wanaweka mafumbo tu au majazi yan inshot adam alimbandua hawa kwa hawa kufumbuliw macho na shetan kua akamtege tege adam akaw avai vijan akajfunika maungo yake anajiachia achia ovyo mzee baba akashndwa kushkilia bomba ndio mungu akawatmua ila adam alitubia ila afta dat ndio wakashushwa hku dunian lakn amna ushahid km bnadam alikua afi ad alipokula tunda na km alikua afi mbona alipulziw roh it mean alkua mfu hana uhai kbla ajapulziw rohSasa hilo tunda lilikuwa bustani la kazingani??
1. Kila mtu anakufa acha uwongoEbwanaee, kuna utata sana apo kuhusu suala la kufa ndo maana wanasemaga usijudge sana kuhusu mungu unaweza ukakufuru ikala kwako....ila kwamfano maandiko yamesema mshahara wa dhambi ni mauti, jee kwann watenda mema nao wanakufa? na kama wakifa hao watenda dhambi kwanini wafufuliwe afu wauwawe tena au kuteswa kwenye jehanum
1. Mbona unaamini ukristo Kati ya dini 10k na miungu 3000 iliyokuwepo? Wat if dini zingine ndo za ukweli yako ya uwongo? Ukitoa ukoloni na familia una sababu gani ya kuamini dini yako?Hatukuzaliwa ili tufe, kufa ni matokeo ya uchaguzi usio sahihi wa Adam. Sio kwamba alikula tunda fulani ndio akafa, hapana hiyo haitakuwa sahihi. Kwa nini Mungu aumbe matunda ambayo yatawaua watoto wake?
Ukweli ni kwamba suala la kula matunda ni lugha iliyotumiwa na Musa kufundisha kuhusu kuamini kile Mungu alisema nao kuhusu hatma yao.
Adam na Hawa kuishi milele pasipo kufa ilikuwa chini yao mwenyewe. Mungu aliwaumba wakawa hai, kisha suala la kuishi milele Mungu aliacha juu yao kama matokea ya choice yao. Ndio maana ya ubinadamu, Mungu hakutaka kucontrol maamuzi ya mtu, alimpa uhuru huo wa kuchagua lakini Adam hakuamini katika maneno Mungu alimwambia.
Kufa kwa Adam sio kwamba Mungu ndo alimuua, bali ni matokeo ya uchaguzi wake. Yaani, kuchagua tofauti na Mungu alivopendekeza ndio mauti yenyewe.
Mfano. Baba anaweza mshauri mwanawe kwamba ukigusa moto hakika utaungua; mtoto akikaidi na kugusa moto ule ataungua kweli, na hatuwezi kusema Baba kamuunguza, hapana. Kadhali Mungu hakumuua Adam bali hiyo ilikuwa ni matokea ya kutokutii maelekezo.
Kwa hiyo ni wazi kabisa kwamba Adam alipewa maelekezo ambayo kama angeamini katika hayo basi angeishi milele (Immortality) na pia angezaa watoto kwa namna yake ambao nao wangeishi milele.
Its not over yet. Bado plan ya Mungu ya kumfanya mtu aishi milele iko pale pale. Mtu anapoamini katika injili ya Kristo anapokea uwezo huo wa kuja kuishi milele baadae katika mwili mpya. Bado mwanadamu anao uchaguzi, achague uzima au mauti. Hilo Mungu hawezi kumlazimisha mtu, mtu mwenyewe anachagua.
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa mwanawe wa pekee ili kila mtu AMWAMINIYE ASIPOTEE BALI AWE NA UZIMA WA MILELE