Faida ya kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula

Faida ya kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Nimekuletea faida chache za kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula ni muhimu kuzingatia mida ambayo huwa unapata Milo yako kila siku

Kuywa maji nusu lita kabla ya kula chakula inasaidia kuleta hamu ya kula

Kunywa maji nusu lita kabla ya kula inasaidia kupunguza matatizo tumbo kujaa ya gesi na vidonda vya tumbo

Mmeng'enyo wa chakula

Jambo lingine la muhimu unapomaliza kula tulia dk 15 ndio unywe maji inasaidia kuweka mwili kuwa imara zaidi kupambania na magonywa acha ule utaratibu mbovu wakula chakula huku ukishushia na maji

Unavyojenga nyumba kufanya iwe imara zaidi ni lazima uhakikishe Ile sument imejichanganya na mchanga kabla haujaweka maji

Hivyo hivyo ata unavyojenga mwili ni lazima chakula kijichanganye vizuri tumboni kabla haujanywa maji kuanza kufanya digestion
 
Back
Top Bottom