Kwanini nisiujue?Unaujua mkataba wa camp David?
Tuanzie hapo kwanza.
Ni mkataba ulioundwa baina ya Israel na Egypt kama baba wa arab league wa kusitisha mapigano yaliyoanzia 1973 .
Ndio umefanyaje huo mkataba?
Unahusika na nini nilichokiandika hapa??
Maana haukuuhusu Saudia wala hizo nchi nilizotaja kuwa zinalipa hela kwa US za mkataba wa ulinzi.