Faida ya mgogoro wa Israel na Palestine kwa Misri

Unaujua mkataba wa camp David?
Tuanzie hapo kwanza.
Kwanini nisiujue?
Ni mkataba ulioundwa baina ya Israel na Egypt kama baba wa arab league wa kusitisha mapigano yaliyoanzia 1973 .
Ndio umefanyaje huo mkataba?
Unahusika na nini nilichokiandika hapa??
Maana haukuuhusu Saudia wala hizo nchi nilizotaja kuwa zinalipa hela kwa US za mkataba wa ulinzi.
 
Wewe ndo hujui, Marekani hutoa misaada ya fedha Kwa Israel na misri zinatofautiana kiwango tu, hizo nchi zingine Wana mikataba ya ulinzi tu.
 
Unajaza Server za Jf Kuanzisha uzi utumbo usio na kichwa wala miguu.

We km hapo mbagala nyanya hazina wateja nenda Buza.
kwann usipinge kwa hoja badala ya kumshambulia mtoa mada , hii JF imekuwa ma wehu siku hz
 
kwan msaada mpk upewe pesa ? omba omba mshaanza jipangia namna ya kupewa misaada
 
Wewe ndo hujui, Marekani hutoa misaada ya fedha Kwa Israel na misri zinatofautiana kiwango tu, hizo nchi zingine Wana mikataba ya ulinzi tu.
🤣🤣🤣🤣🤣.
Asa mie nimezungumzia nini hapo?
Soma uelewe acha kusoma kwa kukurupuka.
Israel ndio inapewa msaada Misri anapewa hongo inayojulikana kama msaada.
Unaonekana ulikua unafeli sana mitihani maana husomi ukaelewa.
 
kwan msaada mpk upewe pesa ? omba omba mshaanza jipangia namna ya kupewa misaada
Mbona ulichojibu ni nje ya maudhui?
Unasemaje unampa mtu msaada ilhali unachomfanyia anakulipa pesa??
Hapo umenielewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…