Faida ya ziara ya Rais Samia Suluhu nchini Oman

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
204
Reaction score
231
Hati 4 za makubaliano zilizosainiwa baina ya Wizara za Tanzania na Oman

1. Ushirikiano katika masuala ya nishati ili kukuza taaluma na utaalamu
2. Ushirikiano katika Elimu ya Juu kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa wataalamu
3. Ushirikiano katika utalii kwa lengo la kuhamasisha uwekezaji na kuvutia watalii
4. Ushirikiano katika masuala ya Makumbusho ya Taifa ili kubadilishana uzoefu katika nyanja ya historia.
 
Omani wana elimu gani ya maana? Yaani Omani ndo wakushilikiana nao kwenye elimu? Punguzeni ujinga
 
Nonsense..unaacha kushirikiana na nchi za maana kama usa,UK, Japan na Israel. Unaenda kushirikiana na upumbavu huo ambao we are almost the same!
RIP Magufuli,Nyerere and Mkapa
Ukweli lazima usemwe hata kama mtakataa, Rais Samia anafanya kazi tena nzuri tu.
 
La ovyo
JamiiForums-1659793415.jpg
 
Nonsense..unaacha kushirikiana na nchi za maana kama usa,UK, Japan na Israel. Unaenda kushirikiana na upumbavu huo ambao we are almost the same!
RIP Magufuli,Nyerere and Mkapa
Da. Bado uko dunia ya zamani. Nani alijua tutaingiza bidgaa kutoka Uturuki, nani alijua kuna vyuo Ukraine, South Africa je. Dunia inabadilika. Ulijua kwamba Kenya inaitegemea Tamzania kwenye Gesi?
Ushirikiano unaweza kuwa kutoka kwenye nchi ya kawaida kabisa lakini ukawa bora. Kuna wakati wataalam wa kilimo cha pamba walikuwa wanatoka Sudan.
 
Nonsense..unaacha kushirikiana na nchi za maana kama usa,UK, Japan na Israel. Unaenda kushirikiana na upumbavu huo ambao we are almost the same!
RIP Magufuli,Nyerere and Mkapa
Tatizo nadhani ni elimu yake mwenyewe haimpi upeo wa kuwa kama hao hayati uliowataja hapo, mtu mwenyewe upeo wake binafsi kutokana na elimu yake.
 
Hujasema kama tayari wanyama pori hai washaanza kupanda meli.

BTW:Sijawahi kuona CV ya Mtanzania yeyote akawa amesoma Oman labda Wazanzibar wapo waliopatia elimu ya dini huko.
 
Nonsense..unaacha kushirikiana na nchi za maana kama usa,UK, Japan na Israel. Unaenda kushirikiana na upumbavu huo ambao we are almost the same!
RIP Magufuli,Nyerere and Mkapa

Oman nchi tajiri wala hatulingani nayo kiuchumi. Labda wewe hujawahi kufika kule.
 
Back
Top Bottom