Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Hati 4 za makubaliano zilizosainiwa baina ya Wizara za Tanzania na Oman
1. Ushirikiano katika masuala ya nishati ili kukuza taaluma na utaalamu
2. Ushirikiano katika Elimu ya Juu kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa wataalamu
3. Ushirikiano katika utalii kwa lengo la kuhamasisha uwekezaji na kuvutia watalii
4. Ushirikiano katika masuala ya Makumbusho ya Taifa ili kubadilishana uzoefu katika nyanja ya historia.
Taja na hasara zake kabisa ili sijirudie pahala. Penye Pros kuna cons