Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 204
- 231
Omani wana elimu gani ya maana? Yaani Omani ndo wakushilikiana nao kwenye elimu? Punguzeni ujingaHati 4 za makubaliano zilizosainiwa baina ya Wizara za Tanzania na Oman
1. Ushirikiano katika masuala ya nishati ili kukuza taaluma na utaalamu
2. Ushirikiano katika Elimu ya Juu kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa wataalamu
3. Ushirikiano katika utalii kwa lengo la kuhamasisha uwekezaji na kuvutia watalii
4. Ushirikiano katika masuala ya Makumbusho ya Taifa ili kubadilishana uzoefu katika nyanja ya historia.
Wana elimu nzuri tu na wataalamu haswa katika masuala ya gesi na mafutaOmani wana elimu gani ya maana? Yaani Omani ndo wakushilikiana nao kwenye elimu? Punguzeni ujinga
Ukweli lazima usemwe hata kama mtakataa, Rais Samia anafanya kazi tena nzuri tu.Nonsense..unaacha kushirikiana na nchi za maana kama usa,UK, Japan na Israel. Unaenda kushirikiana na upumbavu huo ambao we are almost the same!
RIP Magufuli,Nyerere and Mkapa
Ilmu au elimu??Wana elimu nzuri tu na wataalamu haswa katika masuala ya gesi na mafuta
Kukumbatia mafisadi ndio kazi nzuri?Ukweli lazima usemwe hata kama mtakataa, Rais Samia anafanya kazi tena nzuri tu.
Tuna upungufu wa wataalam wa gesi na mafuta wangapi? na tunahitaji wangapi? kwa project ngapi?Wana elimu nzuri tu na wataalamu haswa katika masuala ya gesi na mafuta
Swali zuri sana.Tuna upungufu wa wataalam wa gesi na mafuta wangapi? na tunahitaji wangapi? kwa project ngapi?
Acha chuki zako binafsi wewe mtu wa ketaramanka, wegero na buswahiliKukumbatia mafisadi ndio kazi nzuri?
Da. Bado uko dunia ya zamani. Nani alijua tutaingiza bidgaa kutoka Uturuki, nani alijua kuna vyuo Ukraine, South Africa je. Dunia inabadilika. Ulijua kwamba Kenya inaitegemea Tamzania kwenye Gesi?Nonsense..unaacha kushirikiana na nchi za maana kama usa,UK, Japan na Israel. Unaenda kushirikiana na upumbavu huo ambao we are almost the same!
RIP Magufuli,Nyerere and Mkapa
Wataalamu wa gesi na mafuta dubai ni wazungu,hata visima wanamiliki wao mwarabu anachukua mrabahaWana elimu nzuri tu na wataalamu haswa katika masuala ya gesi na mafuta
Tatizo nadhani ni elimu yake mwenyewe haimpi upeo wa kuwa kama hao hayati uliowataja hapo, mtu mwenyewe upeo wake binafsi kutokana na elimu yake.Nonsense..unaacha kushirikiana na nchi za maana kama usa,UK, Japan na Israel. Unaenda kushirikiana na upumbavu huo ambao we are almost the same!
RIP Magufuli,Nyerere and Mkapa
Uliza kabla ya kuponda Mkuu. Kama amemaanisha Elimu ya Madrasa je? Kuna wa kuizidi Oman katika Ilimu hiyo Mkuu?Omani wana elimu gani ya maana? Yaani Omani ndo wakushilikiana nao kwenye elimu? Punguzeni ujinga
Nonsense..unaacha kushirikiana na nchi za maana kama usa,UK, Japan na Israel. Unaenda kushirikiana na upumbavu huo ambao we are almost the same!
RIP Magufuli,Nyerere and Mkapa