4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wamewahi kukosa nguvu ya kiuchumi? Manji alipoona maskini wanamwandama alihamisha mitaji yake kwenda nakojua.Manji wa Yanga aliishia wapi? Mo alifichwa siku kadhaa na hakutakiwa kuropoka na aliufya kinyaa Hadi Leo.
Wewe ni nani Hadi uitishe Mamlaka? Kiufupi unapangiwa namna ya kuishi bila kujalisha unataka au hutaki
Hakuna mwenye mamlaka anayempangia mwenye pesa namna ya kuishi ...akina bakharesa, mo, Rostam wameachana na Mamlaka zote wameamua kutafuta fedha
Huko nako akileta fyoto atashughulikiwa ipasavyo 🤣🤣🤣🤣Wamewahi kukosa nguvu ya kiuchumi? Manji alipoona maskini wanamwandama alihamisha mitaji yake kwenda nakojua.
Mo alipoona maskini wanamwandama aliamua kutokuendelea kushughulika nao na sasa yeye ni tajiri mkubwa Afrika. Jiulize wale waliomwandama MO kwa mamlaka zao enzi zile wapo wapi?
Umewahi kujiuliza wakina Musiba waliokuwa na fikra za kimaskini waliishia wapi?
Mtu anayetukuza umaskini aogopwe kama ukoma.
This is wake up call kwa watoto wetu wanaomaliza vyuo waache kutafuta madaraka waanze kutafuta fedha kwanza
Mtumishi analipa kodi kutoka wapi? Leo wafanyabiashara wasipolipa kodi serikali italipa mishahara? Watumishi hawalipi kodi kwa sababu hawafanyi biashara wakatengeneza faida......wanapunguziwa take home zao.Hakuna mlipaji kodi mwaminifu nchi hii kama mtumishi wa umma, mchango wa mtumishi nchi hii ni mkubwa sana akifuatiwa na mkulima,
MTUMISHI,
1.Analipa kodi kila mwezi kupitia mshaara wake kwa mwezi
2. Analipa kodi kupitia manunuzi yake ya matumizi mbalimbali kila siku
3. Akifungua biashara analipa kodi na kuajiri pia
4.Akivuna shambani analipia pia ushuru na kuajiri vibarua wa kumfanyia kazi
Wafanyabiashara msijikute bila sababu , ukikuta mfanyabiashara analipa M1 kama makadilio ya kodi kwa mwaka ,jua nyuma ya pazia kaisha kwepa kodi M4
Ndivyo nijuavyo piaMkuu umekaa vizuri ukawaza kwa kina kuhusu hilo? Kiongozi ni Tajiri kuliko wewe boss muda wowote anaweza kuyumbisha mazingira yako ya biashara ukashindwa kufanya biashara.
Anajitoa ufahamu tuu huyu nyumbu.Sawasawa.
Nafikiri hujui maana ya Dola.
Ungejua maana yake wala usingeandika hayo.
Bakhressa ni mtu mdogo sana kwenye hii nchi mbele za Watawala.
Afisa TRA wa ngazi ya juu tuu anaweza kumjambisha achilia mbali wenye serikali
Wamewahi kukosa nguvu ya kiuchumi? Manji alipoona maskini wanamwandama alihamisha mitaji yake kwenda nakojua.
Mo alipoona maskini wanamwandama aliamua kutokuendelea kushughulika nao na sasa yeye ni tajiri mkubwa Afrika. Jiulize wale waliomwandama MO kwa mamlaka zao enzi zile wapo wapi?
Umewahi kujiuliza wakina Musiba waliokuwa na fikra za kimaskini waliishia wapi?
Mtu anayetukuza umaskini aogopwe kama ukoma.
This is wake up call kwa watoto wetu wanaomaliza vyuo waache kutafuta madaraka waanze kutafuta fedha kwanza
Hiyo ni kwenye nchi za Kikomunisti au zenye legasi ya Kikomunisti na nchi za kidikteta pia.Kuna pesa alafu kuna Mamlaka.
Mwenye mamlaka ndiye anaamua wewe uwe na pesa au uishi kifukara.
Pesa zako sio chochote mbele ya Mamlaka
hakuna kitu hicho wenye pesa ndio wenye mamlaka wenye pesa ndio wanaopambana kwenye uchaguzi watu wapate mamlaka mamlaka gani unazungumzia mkuuKuna pesa alafu kuna Mamlaka.
Mwenye mamlaka ndiye anaamua wewe uwe na pesa au uishi kifukara.
Pesa zako sio chochote mbele ya Mamlaka
Kama ni mdogo kaangalie ameajiri watu wangapi kutoka kiwandani hadi mtaani; then tuambie mkuu wa mkoa au waziri ameajiri watu wangapi?Sawasawa.
Nafikiri hujui maana ya Dola.
Ungejua maana yake wala usingeandika hayo.
Bakhressa ni mtu mdogo sana kwenye hii nchi mbele za Watawala.
Afisa TRA wa ngazi ya juu tuu anaweza kumjambisha achilia mbali wenye serikali
Hii ni sahihi kwenye baadhi ya nchi tuMkuu umekaa vizuri ukawaza kwa kina kuhusu hilo? Kiongozi ni Tajiri kuliko wewe boss muda wowote anaweza kuyumbisha mazingira yako ya biashara ukashindwa kufanya biashara.
Kwa baadhi ya nchi, huko magharibi kwenye demokrasia imara ukiwa na pesa, teknolojia au ushawashi mkubwa unaoweza kutunishiana misuli na watawala.Mamlaka ni zaidi ya pesa.
Uko sahihiMtumishi analipa kodi kutoka wapi? Leo wafanyabiashara wasipolipa kodi serikali italipa mishahara? Watumishi hawalipi kodi kwa sababu hawafanyi biashara wakatengeneza faida......wanapunguziwa take home zao.
Anajitoa ufahamu tuu huyu nyumbu.
Angesoma walau sheria hata ya dharula au ya Uokoaji.Serikali ikiona Kuna haja ya kutwaa Mali yeyote ya mtu binafsi inafanya hivyo na hakuna wa Kuzuia utake au usitake.
Mleta mada hajazingatia muktadha na mazingira, uzi wake una uhalisia kwa nchi za magharibi zaidi.Nafikiri hajui maana ya Dola.
Kama anamwona Bakhressa au hao matajiri ni Watu wakubwa, mwambie awashauri wajaribu kusapoti hata Chadema tuu achilia mbali ugaidi.
Alafu achukue popcorn atulie aone nini kitafuata
Kwa baadhi ya nchi, huko magharibi kwenye demokrasia imara ukiwa na pesa, teknolojia au ushawashi mkubwa unaoweza kutunishiana misuli na watawala.
Mleta mada hajazingatia muktadha na mazingira, uzi wake una uhalisia kwa nchi za magharibi zaidi.
hakuna kitu hicho wenye pesa ndio wenye mamlaka wenye pesa ndio wanaopambana kwenye uchaguzi watu wapate mamlaka mamlaka gani unazungumzia mkuu
Aliekuelewa anisaidie ufafanuziMtumishi analipa kodi kutoka wapi? Leo wafanyabiashara wasipolipa kodi serikali italipa mishahara? Watumishi hawalipi kodi kwa sababu hawafanyi biashara wakatengeneza faida......wanapunguziwa take home zao.