Faida yangu kibiashara kwa siku nane inaweza kumlipa Mkuu wa Wilaya mshahara; anapata wapi nguvu yakinifokea?

Faida yangu kibiashara kwa siku nane inaweza kumlipa Mkuu wa Wilaya mshahara; anapata wapi nguvu yakinifokea?

Manji wa Yanga aliishia wapi? Mo alifichwa siku kadhaa na hakutakiwa kuropoka na aliufya kinyaa Hadi Leo.

Wewe ni nani Hadi uitishe Mamlaka? Kiufupi unapangiwa namna ya kuishi bila kujalisha unataka au hutaki
Na wewe unaifurahia hiyo hali ya kuineana?
 
Nilichogundua nabishana na watu wanaoona uchumi katika macho ya JPM na kundi lao. Niwaulize , kwanini leo hii nchi yetu imeamua kwenda kuwabembeleza matajiri warudi? Kama mallmlaka ina nguvu kwanini tunarudi kuwabembeleza matajiri waje kuwekeza?
 
nasimama na wafanyabiashara hawa ndo wanaeendesha hii nchi labda na mikopo kutoka nje ambayo nayo ni ela za wafanyabiashara serikali haina kiburi cha kuwavimbia wafanyabiashara ni vile tu tunawachagua watuongoze..
 
Hakuna mwenye mamlaka anayempangia mwenye pesa namna ya kuishi ...akina bakharesa, mo, Rostam wameachana na Mamlaka zote wameamua kutafuta fedha
Huna unachojua! Manji na mahela yale alijambishwa mpaka basi! Unacheza na mamlaka wewe!
 
Back
Top Bottom