Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
Miaka 7/8 unakatwaaa tuWafanyakazi wengi hukopa ila huishi maisha mabaya sana
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hakuna faida za mkopo.
Hio miaka utakayokopa utapata tabu sana.
Nina mtu wa karibu ni mwalimu anakopa kusomesha watoto english medium, mshahara baada ya makato anapokea 200000Miaka 7/8 unakatwaaa tu
Weuh ni ngumu kumeza [emoji119]
Ndo ulikopa ukanunua gari, hahaa
Asilimia 11 ina ubaya gani?Sema watumishi kopeni mfanye vya maana, ila mnaumizwa sana.
Juzi kati niliona kipeperushi cha IAA saccoss yao eti riba asilimia 11,, khaaaaaa
Mhh me naona nyingi jamaniAsilimia 11 ina ubaya gani?
Ila mradi tuu ukope kwa ajili ya shughuli mhimu.otherwise mkopo bila mpango wowote wa mhimu jinsi ya kutumia mkopp kupata fedha ni sawa na kaburi.Habari wakuu, mimi ni mtumishi wa Umma ambapo nina fursa za kukopa benki mkopo wa muda mrefu na mfupi na siku hizi benki nyingi zimeongeza muda wa mkopo hadi miaka 8.
Nilikuwa naomba mawazo yenu kuhusu faida za mkopo wa muda mrefu na muda mfupi ingawa nafahamu kuwa changamoto kubwa ya mkopo wa muda mrefu ni riba kuwa kubwa, Je zipi faida nyingine?
DuhNina mtu wa karibu ni mwalimu anakopa kusomesha watoto english medium, mshahara baada ya makato anapokea 200000
Hapo bado mikopo umiza hivyo anabaki na 50 tu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kukopa pesa ili upeleke watoto shule za English medium nayo Ni matumizi mabaya ya akili.Nina mtu wa karibu ni mwalimu anakopa kusomesha watoto english medium, mshahara baada ya makato anapokea 200000
Hapo bado mikopo umiza hivyo anabaki na 50 tu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kabla ya kukopa mkopo wowote, uwe wa muda mrefu au mfupi, jiulize kwanza hizo pesa unataka kuzifanyia nini? Muda wa mkopo utategemea na kiasi cha mkopo unachotaka kutokana na malengo yako, lakini pia uwezo wako wa kulipa kila mwezi.Habari wakuu, mimi ni mtumishi wa Umma ambapo nina fursa za kukopa benki mkopo wa muda mrefu na mfupi na siku hizi benki nyingi zimeongeza muda wa mkopo hadi miaka 8.
Nilikuwa naomba mawazo yenu kuhusu faida za mkopo wa muda mrefu na muda mfupi ingawa nafahamu kuwa changamoto kubwa ya mkopo wa muda mrefu ni riba kuwa kubwa, Je zipi faida nyingine?
Hiyo asilimia 5 ni kwa mwezi au kwa mwaka?Mhh me naona nyingi jamani
Kwetu ni 5%
Na bado naikwepa nikikwama najikopea salary adv
Labda bado sijakolezwa vizuri na majukumu
Yakinikolea hata 18% itakuwa ndogo 🤣
Hii ni Riba ya bank inayokopea BOT even bank staffs wengi hawana 5 per cent sijui wewe unakopa hazina au??Mhh me naona nyingi jamani
Kwetu ni 5%
Na bado naikwepa nikikwama najikopea salary adv
Labda bado sijakolezwa vizuri na majukumu
Yakinikolea hata 18% itakuwa ndogo 🤣
Watu wengi wanaumia kwa kutaka iga wengineKukopa pesa ili upeleke watoto shule za English medium nayo Ni matumizi mabaya ya akili.
Hana chochote kile, hata kesho ukimshtua akupe 5000 hatakupaDuh
Mbona balaa
Au ana kiduka/ sehemu anakopata mahitaji mengine