kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,150
Mbona unacheka bwashe? Ujawahi nyandua izi pisi? Huwa hazijui kufake aise....🤣🤣🤣🤣
💯Absolutely
Ngoja nitatafuta bwashee, ni bora amani ya moyo mkuuMbona unacheka bwashe? Ujawahi nyandua izi pisi? Huwa hazijui kufake aise....
Afu km ana kigugumizi ndo kabisa ukimpa Hela ndogo ya matumizi adi awasilishe hoja we ushafika kazini..........🤣🤣🤣🤣
Kigugumizi wana hasira hatariAfu km ana kigugumizi ndo kabisa ukimpa Hela ndogo ya matumizi adi awasilishe hoja we ushafika kazini..........
Jaribu hutakuja kujutia uamuzi wako kbsNgoja nitatafuta bwashee, ni bora amani ya moyo mkuu
Hasira zao zinatokana na kutokuongea Kwake Kwa speed anaona yupo nnje ya muda, so anatumia km weapon yake hiyo ya hasira!Kigugumizi wana hasira hatari
Km Binti wa zamani waza angekuwa na kigugumizi? Pasingetosha hapa🤣🤣🤣🤣Kigugumizi wana hasira hatari
SI unamuowa halafu wewe ndo unakuwa mwenzake sasa?Ila wambea wakikutana wenzake
Nitafanyia kaziSI unamuowa halafu wewe ndo unakuwa mwenzake sasa?
Tumuombee yule awe bubu🤣Ngoja nitatafuta bwashee, ni bora amani ya moyo mkuu
Yupi shindii 😆Tumuombee yule awe bubu🤣
Tatizo tukiitumia vzr inafungiwa bora tujiliwaze na mapenzi mkuu?TAFEYOCO yawataka wananchi kutumia mitandao ya kijamii vizuri
Kwani wako wangapi shindii🙆♂️Yupi shindii 😆