min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Shindii hakuna hata mmoja 😅Kwani wako wangapi shindii🙆♂️
Shindii hakuna hata mmoja 😅Kwani wako wangapi shindii🙆♂️
Wewe ni wa kuchapwa🤔Shindii hakuna hata mmoja 😅
Stori tu hizi.Kigugumizi wana hasira hatari
OkStori tu hizi.
Kama ingekuwa hivyo, basi kule Tarime kila mtu angekuwa na kigugumizi
Kwan mkuu bubu SI ni bínadamu kama binadamu wengine? Au walemavu hawana wapenzi?Binadamu tunapenda ujuaji sana
Kwan mkuu bubu SI ni bínadamu kama binadamu wengine? Au walemavu hawana wapenzi?
Mtazamo wako tu, mkuu mbaya ni kumnyanyanyasa tu Kwa sbb ya Hali yake ila ukimpata hakika unakuwa umelamba dumeMkuu ni kweli ila duh bubu mbna kama ni huruma kuichapa au ndo ile ya kama H baba na demu wake bubu,ila mi sipigi bubu mzee
Dah kweli chifu bora nisipge nisije ikosea nafsi kwa visununuMtazamo wako tu, mkuu mbaya ni kumnyanyanyasa tu Kwa sbb ya Hali yake ila ukimpata hakika unakuwa umelamba dume
😂😂😂😂😂Afu km ana kigugumizi ndo kabisa ukimpa Hela ndogo ya matumizi adi awasilishe hoja we ushafika kazini..........
We umejuaje mkuu?Yupo Bubu pale manzese Baa inaitwa Rambo anauza uchi. Anamichezo kinoma
Mkuu wewe hukumpenda tu!Nimewahi date na pisi ina matatizo ya kusikia(kiziwi) alipata shida akiwa na miaka 16 , dah ni pisi kali ilinizidi miaka 3 na ilinipenda yenyewe. Ina mapenzi ya dhati tatizo lake ilikua wivu alikua na wivu na hasira za kijinga sana siku aliyonikunja shati ofisini ndo siku niliyopiga chini kabisa maana niliona atakuja kuniua yeye ukikutana nae cha kwanza kupekua simu yako yaani ilikua vurugu japo mengine yote yalikua matamu kasoro yake ilikua ni hiyo tu.