waswahili bana,ivi we bata ni lazima kusoma thread za mapenzi?kama kwako suala hili sio muhimu basi soma thread nyingine mbona zipo nyingi tu haya ya huku tuachie wenyewe.....mimi nafikiri si bure huyu jamaa kuna kitu anataka toka kwa mtoa mada wetu labda aulizwe hii ni dunia ya ukweli na uwazi......nawasilisha
We boss,huna sera,this is the home of great thinkers.
wewe kila kukicha ngono ngono ngono,nimekusoma sana wewe.
acha kuwaza ngono sana,unaonesha upuuzi wako hapa.
hatuna muda wa ngono sisi.
Unataka mtu akutukane afungiwe basi ufurahi, The Boss mpotezee huyu wala usijibizane nae, ukiona mwanamke anapinga ngono aliwahi kubakwa na mateja.
We boss,huna sera,this is the home of great thinkers.
wewe kila kukicha ngono ngono ngono,nimekusoma sana wewe.
acha kuwaza ngono sana,unaonesha upuuzi wako hapa.
hatuna muda wa ngono sisi.
by the way hujalazimishwa kusoma thred hii..
who are u??????
umetazama thread zangu zote ukaona ngono???
wewe ni member hapa since when??????
usitafute umaarufu kwa nguvu....
u dont know me.
nakushauri go get a life,
hasa sex life which seems to be missing in your life
since u believe sex is upuuzi.
Kuna kitu anakitafuta kama hujamstukia.
wewe ulimi UMEACHAA USHOGA maana kuna mshikaji anakuuliziaga kweli yani.wewe na bosi hamna sera.
Hivi kwa nini wanawake wengi wa kitanzania
wanafikiri sex ni kwa ajili ya kumfurahisha
mwanaume,kama vile haina faida yeyote kwao???
Mara nyingine utasikia mwanamke anamnyima sex
mpenzi wake kama njia yakumkomoa why???
Kuna faida nyingi kwa mwanamke anapofanya sex
mara kwa mara hizi ni baadhi tu
1.ngozi inakuwa nzuri na laini.
2.nywele zinakuwa nzuri na zina shine.
3.unapata usingizi mzuri..
4.unapata hamu ya kula vizuri..
5.unaondoa stress kichwani.
6.unaongeza confidence ...na self esteem
7.unapata amani ya moyo...
8.unapunguza kasi ya kuzeeka...
9.unapunguza kisirani kwa ujumla..
10.........etc, etc.
Hasa kwa wale wenyendoa,Bible imesema.......MSINYIMANE........ Naomba wachungaji nisaidieni kutafuta kifungu chake.
Hasa kwa wale wenyendoa,Bible imesema.......MSINYIMANE........ Naomba wachungaji nisaidieni kutafuta kifungu chake.
We boss,huna sera,this is the home of great thinkers..
....Mh!! Kwani wale wadada hawaweki maturabai wakati wa kutoa uroda?? Haya mambo ya virutubisho direct ndio wanaingiaga kwenye gridi ya taifa!!!!Hapo unaposema unapunguza kasi ya kuzeeka sikubaliani nawe, hapo hakuna ukweli wowote kama kungekuwa na ukweli dada na kaka zetu wanajiuza wasingekuwa wanazeeka haraka kwa sababu virutubisho wanavyovipata kwa siku ni balaa halafu vinatoka kwa watu tofautitofauti.
We una sera za kutoa ajira milioni 1?
Umesikia magreat thinkers hawamegi/megwa we vp bana? Bila hii kitu ww ungezaliwa?
hahaaa i hope grid hii ya taifa si ile ya 'tenesco' inazimika hovyo hovyo tuu....Mh!! Kwani wale wadada hawaweki maturabai wakati wa kutoa uroda?? Haya mambo ya virutubisho direct ndio wanaingiaga kwenye gridi ya taifa!!!!
hahaaa i hope grid hii ya taifa si ile ya 'tenesco' inazimika hovyo hovyo tuu
Mh! Bata na Boss wana lao jambo. Bata unabwata vipi kwa thread ya mwenzio. Hapa hulazimishwi kuchangia ni hiari yako. kama wenye mtandao hawajblock thread yake inaonyesha inahitajika.
mapenzi hayana shule for your infomation, ukisema hana elimu kwa sababu katoa thread ya mapenzi unakosea, nakushauri tu umtake radhi ili mambo yaendelee, what i can see wewe si mpenzi wa mapenzi so acha kutembelea thread za mapenzi.
and caroline if that is so jamaa is not normal basi...anakaupungufu!!!
hivi wasomi ndo hawataki mapenzi!!!?? wa wapi huyu??